TIKO TRICKS
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 185
- 90
jifunzeni kitu hapo.
kila devorce ni wanandoa wanalaumiana......
sababu ni kuwa hakuna kati yao anaethubutu kuongelea changamoto anazozikabili ndani ya ndoa mpaka wanafikia kutalikiana.
Haaahaaaa,......Pumbafu zake aende akafie mbali na mabilioni yake. Hakuna kitu kizuri kama kuwa huru maishani.....