Am 24 yrs now cjawah sex na plan zangu nisifanye hii kitu mpaka ntakapooa. Kiukwel naona kama naelekea kushndwa coz hisia za kufanya hii kitu znaongezeka kila baada ya cku.
Ushauri please what can i do to archieve my plan

We ni mwanaume au mwanamke,kama mwanaume ukiendelea hivo jiogope,kikwetu zamani ikifika jioni mtoto wa kiume anakaa mazingira ya nyumbani kuchoma mahindi lazima mzee akufukuze uende kufukuzia warembo
Kikwenu ndio kinini
Lol basi unatamani unifahamu viZuri
Unaumwa wewe au???
Haya bhana...