dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,972
- 3,588
Hebu toeni ushauri waungwana.
Inakuwaje mke wa bossi wako anapokuzimia, Kila mara napigiwa simu hata usiku wa manane mie najua ni mtu na stress zake anataka mtu wa kuongea nae, baada ya majina na sauti kuanza kubadilika nikagundua hilo.
Hapa nilipo nimemwambia akiwa tayari anijulishe, ila akili ndo inanirudia sasa kuwa hili jambo si lakuliendeleza tena.
Nifanyaje kumkemea huyu pepo anayeninyemelea hapa?
Ushauri wa busara unahitaji kumuokoa huyu kiumbe katika hili janga.