paul buswelu
Member
- Dec 14, 2012
- 46
- 4
Habari! naitwa Paul natafuta Mchumba wa Kike kwani nahitaji kuoa soon,Elimu yangu Diploma of Education,umri wangu 29,maji ya kunde pia nipo smart,nafanya Kazi Dar,sio Mrefu wala Mfupi,vigezo awe na umri18-27,Maji ya kunde au Mweupe kiasi,Elimu awe na Certificate,Diploma,Degree na kuendelea,Contact-0683848116