naipenda nchi
New Member
- Nov 14, 2014
- 4
- 0
Kuna vitu vimenitokea ambavyo sikupata ushirikiano wa kutosha toka kwa watu wa karibu,hivyo nahitaji kujua sifa za rafiki wa kweli? Mana nahitaji nifanye uamuzi mgumu wa mchujo wa marafiki wanafiki,kabla sija hukumu nahitaji sifa za rafiki wa kweli nizipi?