.....imempenda ...hata mama yangu mzazi naye!

mariantonia

Senior Member
Jan 6, 2012
135
52
@arusha, mama mchagga, baba mngoni

.......my boyfriend ana wiki mbili tokea arudi kubeba boksi ubelgiji

Kuna mmama (NOT MARRIED ila ana watoto wawili) ANA MIMBA ya 6 miezi amekuwa akimganda my BF, huyu mama tunaabudu naye

Nimejaribu kumweleza my bf kuwa siridhiki na hii hali akanijibu MIMBA YA HUYO MAMA IMEMPENDA
Mchungaji wa kanisani kwetu NAOGOPA KUMWELEZA

Note:mpaka usiku saa mbili mama mjamzito anampigia my BF aende kwake ili aweze kula jioni,

Kimbembe:Nimewaeleza wamama kuwa nataka kureact aggresivelly towards huu unafiki wa MIMBA IMEPENDA wananiambia eti pia mimba yangu itajampenda mtu mwingine kwa hiyo NIOMBE IWE MWANAUME wa mkee asiye na wivu kama mimi.

MSAADA WAMAMA WA JF:naombeni ukweli kama mimba zinapenda kihivi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
lol.........hii kali jaman.
hayo mambo ya mimba kupenda ki2 yapo.
lkn na kuitana kupata mlo wa usiku hapo cjui.
ila wait akijifungua utaona m2 mamie.
 
Hahahahaha pole MariAntoni.

Ngoja umbanie huyo mama alafu yako ije kumpenda mumewe.
 
lol.........hii kali jaman.
hayo mambo ya mimba kupenda ki2 yapo.
lkn na kuitana kupata mlo wa usiku hapo cjui.
ila wait akijifungua utaona m2 mamie.
Suppose mkeo analeta ujinga/unafki huu wa MIMBA IMEMPENDA shambaboy wenu utajiskiaje?????????
 
Hahahahaha pole MariAntoni.

Ngoja umbanie huyo mama alafu yako ije kumpenda mumewe.
missing u alot

siamini kama kuna kitu kama MIMBA KUMPENDA
Mama yangu kanielekeza hili ila NAONA NI WATU KUJIENDEKEZA
 
Kuwa muangalifu huyo madam ana lake jambo sio bure,kwani huyo mama hana mume...au baba wa hiyo mimba kapotelea wapi...kama vipi m-confront tu usiwasikilize wamama coz wewe ndo unechukizwa sio hao wamama..!!!
 
Unajua wengi wana watoto ila hawana waume a.k.a mwanaume wa only kuzaa
nipo kwenye wakati mgumu sana kuvumila huu UPUUZI.
Sjawai beba mimba ila sikubaliani na mambo ya mimba IMEMPENDA
 
lol.........hii kali jaman.
hayo mambo ya mimba kupenda ki2 yapo.
lkn na kuitana kupata mlo wa usiku hapo cjui.
ila wait akijifungua utaona m2 mamie.

Take care mwenzako usijekuta anaenda kujazia vimasikio!!
 
missing u alot

siamini kama kuna kitu kama MIMBA KUMPENDA
Mama yangu kanielekeza hili ila NAONA NI WATU KUJIENDEKEZA

Mi pia mpenzi.

Yeah hata mi nadhani wanakua wamepata kisingizio cha kufanya mambo hua wanatamani kufanya ila hawawezi katika hali ya kawaida, kwahiyo mimba inabebeshwa kila aina ya tamaa kwa kisingizio cha "mimba ndio imependa".
 
Piga marufuku huyo mama
hadi saa hi unachekacheka tu
Banana na bf wako, usikubali aende

Wajawazito na hormone zao hakawii kumlilia ananii sijui nini
Akili kumkichwa hapo

Martina una visa wewe!!
Hukujisikia vibaya kuhusu ile ishu ya dada?
 
Kuwa na subira kwa hii miezi mi3 ilobaki uone baada ya hapo itakuwa je. Alafu msihi sana mumeo kwani unaweza kukuta anavyoenda huko kwa huyo mama hana nia ya ku do nae lakini kutokana na mitego ya hapa na pale anajikuta ameharibu, ilopo atoe kampani kwa uangalifu mkubwa na ikiwezekana awe anamkwepa
 
Mi pia mpenzi.

Yeah hata mi nadhani wanakua wamepata kisingizio cha kufanya mambo hua wanatamani kufanya ila hawawezi katika hali ya kawaida, kwahiyo mimba inabebeshwa kila aina ya tamaa kwa kisingizio cha "mimba ndio imependa".
shosti!!!!!!
hapa nilipo nimechoka, nahisi kuibiwa halafu watu wanabariki huu wizi yaan hata mama yangu anabariki mimi kuibiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom