Heri ya Mwaka mpya wana Jamii Forums. Ni Busara kama tutaitumia hii fursa ya kuuona mwaka 2015 ni vyema na kua na msaada kwa watu. Unaweza kuwa msaada kwa kuongea kwa Hekima au kukaa kimya. Sio...
Hii ni zaidi ya karaha kwa wanawake wembamba huwa wanalia sana wakati wa tendo la ndoa hadi kuwa kero kwa majirani hasa nyumba zetu za kupanga jee huu ni mzuka au sifa?
nilikuwa nasoma kitabu kinaitwa jukwaa la sheria cha Rev. Justine Kaleb.
Kumchukulia hatua za kisheria mtu aliyetoa ahadi ya kukuoa au kuolewa na wewe na baadaye kuvunja ahadi hiyo kwa sababu...
Hi people,
Missing you alot, Likizo imeisha nimerudi Mjengoni tena kuzisaka za Pasaka. Kama kichwa cha Uzi kisemavyo natangaza nia ya kuwa Mpenzi wa ushiboy kwa Mwaka 2015. Refer Safari yangu ya...
Wewe mwanaume unayesoma hapa, jiulize; huwa unadumu na mwenzi wako? Unaachwa au kukimbiwa baada ya muda mfupi? Kama jibu ni ndiyo, hapa utapata tiba. Sikia nikuambie, wapo wengi ambao kila...
Wanajamvi nimesema kwa mwenye elimu ya mapenzi nikimaanisha:
Kuna tabia ya watu baadhi Rika tofauti jinsia tofauti wana mtazamo ambao Mimi binafsi nashindwa kuelewa
nikweli mwanaume mwenye...
Ningependa kupata maoni yenu wana jamvi juu ya suala la mwanaume kufamfanyia mkewe wa ndoa ngono za kwenye mikanda ya video tunayoiona kwenye Tv zetu au laptop zetu au simu au pia social media...
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zilizopita amekuwa akinilazimisha nifanye mapenzi kila siku hapa...
Habari zenu wana Mmu?
Natumai mu wazima sasa twende kwenye stori yenyewe.
Jamaa yangu mmoja mi namuita bro kwa maana amenizidi umri na maarifa na kipato kwa mbali.Anasema hana hamu tena ya kuoa...
Habari ya weekend.
Unakuwa na mpenzi/mke/Mume wako, ambaye ni mtu wa visasi tu.
Yaani akisikia tetesi kwamba umechepuka, yeye anaenda kulala uwanja wa Fisi, akiona umerudi Saa mbili usiku, basi...
Hivi wakina Dada kwanini mna Tabia mbaya sana mkiulizwa mnasema ni Mabikra ila mnapaka Malimao kwenye sehemu za Siri si mseme tu ukweli kwanini mfanye hivi.
Kwa wadau waliopo makini mnakumbuka niliposti kuwa natafuta Mchumba wiki chache zilizopita yaliyonitokea nimepata Msichana mrembo amejaliwa akani PM tukaonana, ila Msichana anakunywa sana Pombe...
Dear Members happy new year!
Kwa mara nyingine napenda kuleta kwenu ombi langu la kutafuta mwanamke aliye-serious tu kuolewa.
Napenda awe Mwalimu au Nurse lakini si lazima.
Mimi nina...
Habari ya weekend.
Nina thamini sana marafiki,nina amini katika marafiki kwakweli. Kama unahitaji rafiki wa kuongea nae au kusaidiana katika mawazo,mambo ya kuhusu maisha,mambo ya...
Ni demu wangu wa muda mrefu, sasa imefikia mahari tunahitaji kufunga ndoa.
Anasema kwa mila zao (mhindi) wao mwanamke ndio anatakiwa kutoa mahari kwa mwanaume.
Binafsi naona kama hizo ni dharau...
Kuna sababu nyingi zimetolewa kwa vijana kushindwa Kuoa na Kuolewa, nyingi kati ya hizo ni za kiuchumi na kujifanya wanajipanga kimaisha.
Ukweli ni kwamba watu wengi hawaingii kwenye Ndoa kwa...
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.
Hata ukija...
Wana jamii, mimi ni mwanaume mkamilifu kabisa, nina miaka 34, nina mtoto1. najitokeza kwenu kutafuta mwanamke wa kuoa, awe mwelewa, mwenye hofu ya Mungu, awe amekua kiakili na kimwili pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.