Je??Hii ni sahihi kumfanyia mke wa ndoa?

Je??Hii ni sahihi kumfanyia mke wa ndoa?

Kijacho Jr

Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
53
Reaction score
14
Ningependa kupata maoni yenu wana jamvi juu ya suala la mwanaume kufamfanyia mkewe wa ndoa ngono za kwenye mikanda ya video tunayoiona kwenye Tv zetu au laptop zetu au simu au pia social media kwa ujumla unakuta mwanaume anadondoka chumvini au kumbwagiza mkewe staili ngumu za kwenye video!!hivi babu zetu walikuwa wakifanya hivi kweli??nini maoni yako jee hii sawa kweli??nazani wote mmenielewa nachokizungumzia..
 
Mmhhnn....si bure ....lazima umelambishwa chumvi usiku huu bila ridhaa yako...vipi umeonaje eti?? T
 
Si sahihi kumfanyia hivyo mke wako wa ndoa! Ila ni sahihi kumfanyia mke wako asie wa ndoa!

Heading ya uzi tu hapo nimetasiri, mengine fanyeni mpendavyo kwa kufurahisha nafsi zenu na kuimarisha ndoa yenu.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Wanaofanya hivo wanahatarisha afya zao. Wanawake wana mgonjwa mengi, mfano UTI, kisonono, fungus, n.k.
 
Me ni mgeni na ayo mambo...ila ni muelewa. Ayo mapenz ya bab zako ata cyajui pia.

Naomba wew mtoa uzi ufafanue ili nikupe jibu sahihi. 1)Mapnz ya bqb zako ni gani? 2)Mapnz ya mke wako wa ndani ya ndoa yakoje? 3Mapnz ya kweny video yakoje? Ukifafanua nitakupa jibu maridadi mjukuu wangu. Mi nipo kijijn xana huku. Niambie unachojua, nami nitakwambia. VINGINEVYO...MUULIZE ANAYE/ALIYEKUFUNGISHA NDOA.
 
Chumbani kwa wanandoa huwa yanafanyika mambo mengi sana...lakini pia ni upumbavu uliopitiliza kwa mwanandoa kuyaanika mambo ya chumbani kwao kwa kuwa sio tu anajidhalilisha yeye mwenyewe bali pia ana mdhalilisha na mwenzie kwani wao ni mwili mmoja...by the way jambo lolote la chumbani linapendeza na kufurahisha kufanyika ikiwa wote mmeridhika kulifanya na alivunji misingi ya imani yenu na wote kwa pamoja mnalifurahia...
 
Back
Top Bottom