Mapenzi gani haya kutoana upepo kila siku

Mapenzi gani haya kutoana upepo kila siku

Kijacho Jr

Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
53
Reaction score
14
Kwa wadau waliopo makini mnakumbuka niliposti kuwa natafuta Mchumba wiki chache zilizopita yaliyonitokea nimepata Msichana mrembo amejaliwa akani PM tukaonana, ila Msichana anakunywa sana Pombe kutoka siku tuliyokutana mpaka leo hii sijui ni kunikomoa.
 
Kamwambie aache hiyo tabia.Atasababisha uchapwe nyumbani kwa kutumia pesa uloagizwa mboga mkuu.
 
Mwanamke ukitaka kumfaidi uwe na hela. Pesa ni kama kachumbali kwenye chips. Usiogope sana, mwanaume kuombwa hela na mwanamke ni kitu cha kawaida sana, kama unazo unampa tuu. Simu yako ya mkononi ili iendee kubaki hewani lazima uwe unaongeza vocha.
 
Ukomeeee!!! Na alikuwa anafanya makusudi aone utamwanzishia uzi? Loh!!! Wanaume hamna vifua kabisaaaaa,ukitaka kula shurti nawe uliwe kidooogo ati!!!
 
jamani sio wote... wengine kuchunwa sunna!!!

Sasahivi wanaume humu mnakera sana yaani mwakutana PM mwaja kuweka hadharani jamani mmekuwa kama mademu tu mnakeraaaaa!!!!!! Si mmalizane huko huko PM mambo gani sasa haya.....aaaaarghhhhh!!
 
Sasahivi wanaume humu mnakera sana yaani mwakutana PM mwaja kuweka hadharani jamani mmekuwa kama mademu tu mnakeraaaaa!!!!!! Si mmalizane huko huko PM mambo gani sasa haya.....aaaaarghhhhh!!

Hahhha limekukuta nini asee... unaongea kwa hisia hadi basi!!! sio wote lakini lol....
 
money reducing agent... no sweti no jasho lenga mchanga alafu chapa LAPA ukiona maji yanazidi UNGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom