Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Hi people,
Missing you alot, Likizo imeisha nimerudi Mjengoni tena kuzisaka za Pasaka. Kama kichwa cha Uzi kisemavyo natangaza nia ya kuwa Mpenzi wa ushiboy kwa Mwaka 2015. Refer Safari yangu ya likizo Seyshells nikaishia UAE na huku ndo nilikutana na ushiboy.
Sasa basi, sharing is caring. Kama kuna mdada humu na ushiboy alikuwa au ni Mpenzi wako basi Kasie ni Mke mwenzio.
Peace and Love to everyone,
Kasie.