Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,709
Reaction score
23,147
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zilizopita amekuwa akinilazimisha nifanye mapenzi kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku.

Leo nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa manane nifanye nae mapenzi nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku tatu mbele target yangu ni kuwa baada ya siku tatu anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumzo ya kutosha.

Cha ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya kukataa kufanya nae mapenzi, ilinibidi nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja hapa nilipo nipo njiani natoka kazini ameshanitumia massege ananiambia eti niwahi anahamu ya dudu langu nimekaa kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza alichokiandika kwenye massage yake tena kwa sauti ya majonzi.

Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo wetu.

Hebu wadau naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka safarini ambapo nilikaa kule kwa miezi miwili na wiki moja bila kushiriki.
 
Hahahahah lol! Pole sana Mkuu inabidi uanze mazoezi ya nguvu ili uende sambamba na mkeo. Dudu imemnogea sana mkeo ndiyo maana anaitamani kila siku. Wanaume wengine huchukia mgeni akiingia ndani ya nyumba lakini wewe inaelekea utashukuru Mungu maana utapata nafasi ya kuvuta pumzi kukusanya nguvu za baada ya mgeni kuondoka.

Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama 3 zilizopita amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku na jana nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa wa ma8 nile mzigo nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku 3 mbele target yangu ni kuwa baada ya siku 3 anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumziko ya kutosha,cha ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya kukataa kula mzigo, ilinibidi nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja hapa nilipo nipo njian natoka job ameshanitumia sms ananiambia eti niwahi Anahamu ya dudu langu nimekaa kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza alichokiandika kwenye sms yake tena kwa sauti ya majonzi.Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo wetu.Hebu waungwana naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka mkoani Dodoma ambambo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki nae.
 
Inabidi utafute msaidizi! LOL
Io real like it, siku zote excuse ya wanaume kuongeza mke ni kwakuwa hahimili mapigo ya mume, now is other way around. Hureh mfumo jike, wahi home ukatumike! Teh teh teh!
 
hahaha yaani nimecheka mpaka dondoka....sasa mwana wewe nawe jikaze mbona mwenzio anaweza

Kumbuka mi kuna liquid materials yanatoka kwangu nnadiposit kwake pia kichwa kinaniuma nahitaji nipumzike kha..
 
Aisee pole sana m2 wangu, huyo mke ameingiwa na pepo la ngono, na pengine humridhishi wakati wa tendo kwa kuwa unawahi kumaliza kabla yake, so jaribu siku moja nawe mnywee hata konyagi au viagra umgonge mpaka **** ikauke maji, hapo atasema mwenyewe sitaki tena.
 
Inabidi utafute msaidizi! LOL
Io real like it, siku zote excuse ya wanaume kuongeza mke ni kwakuwa hahimili mapigo ya mume, now is other way around. Hureh mfumo jike, wahi home ukatumike! Teh teh teh!

Ni folen tu ndo inayonichelewesha ila mpango wangu leo ni kukaa nae kikao na ikibidi mgomo unaanzishwa hapa nilipo mwili unauma
 
Jikaze braza..
Yaan kupiga mzigo daily ushaona tatizo?
Upewe nini sasa kaka?
Au usaidiwe..

Ingekuwa kuna uwezo wa ku deligate position yangu mi ningeshafanya
 
Hahaha, pole mwaya. Muombe jirani yako akusaidie. Ukimuwezesha mshiko kidogo tu wa kumtoa out anakusaidia jumla
King'asti hebu acha uchokozi mwenzio hapa nilipo sina hamu na nanii coz kichwa changu kinalia Zzzz.... yaani nina hang over ya K
 
Back
Top Bottom