heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,025
- 13,332
Nina mchumba nipo nae zaidi ya mwaka na nusu sasa amenianzishia mtindo wa kunidai meseji za mapenzi zenye maneno mazuri zaidi ya mawili kabla ya kulala kama dozi vile daily.
Nimemtumia kama miezi minne mfululizo siku nisipomtumia basi ni kununa mwanzo mwisho yaani kawa addicted fulan hivi
na kwajinsi anavyo respond maneno yangu huwa anafarijika sana ananiambia hupatwa na furaha ya ajabu na ndo anapata usingizi.
Tatizo mimi stock ya maneno imeisha sina maneno na kama ninayo ni marudio sasa wana jf kama vipip dondosha ujumbe wowote wa kumfariji msichana mimi nikopi na ku paste chini nikiweka saini yako.
Hapa utakua msaada wa kuimarisha uchumba hata kwa wengine JF FOR LIFE thanks