Msichana ni mzuri lakini haeleweki

Msichana ni mzuri lakini haeleweki

Joined
Nov 25, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Kuna msichana ambaye ni Jirani yangu sana na kusema kweli ni mzuri sana. Nilipataga hofu ya kumtongoza kwa sababu ya uzuri wake na ni gate kali. Ila kila alipokuwa anapata upenyo anakuja getto kwangu tunacheki movies na kula kwangu.

Siku moja nikajisemea moyoni kuwa Jamii na masela wangu wataniona kama sitampa mtoto haki yake mbali na kumuoa. Basi kidume nikajipanga na alivyo kuja kwa mara ingine gheto nikampa makavu live bila kupepesa macho. msichana aliniangalia na hakuweza kusema kitu akang'oa nanga na kuondoka.

Sikuwa na haja ya kumsihi arudi kwani alikasirika,ila moyoni nilijua massege sent. Ikapita kama wiki mbili bila kumwona tena ila kwa bahati nilikuwa nakatiza mtaani nikakutana nae akitokea sokoni nikampa hi na akaipokea bila kusita.

Nilivyompita na kumwacha nyuma aliniita "Ras" Lete habari,naomba unisaidie haka kamfuko huku akinitazama kwa jicho la madaha akiashiria kukubalian na ile sms nliyomtumia.

Basi tukiwatunasonga na safari huku story za hapa na pale nikaona ni vyema kumuuliza vp juu ya ile sms. Cha ajabu alikasirika zaidi ya mwanzon na kuninyang'anya kale ka mfuko na kuniambia nimemboa na hataki kampan yangu wala swaga zangu.

Wana JF naommbeni ushauri wenu nimfanyie Suprise gani huyu msichana ili anielewe kuwa nampenda.
 
Tafuta kila njia aje geto akija usifanye makosa liwalo na liwe
 
Akija tena geto jitoe ufahamu um'bake halafu unatuliza kiboli kusubiria next game kama utatoka kapa!
 
Wanaume wengine ni wabaya sana,kama hakutaki kwanini ulazimishe utaweza kumtunza au uharibifu tuu?
 
Wakati nafanya hayo mambo sikuwaga namwambia mtu kama namtaka, everything happened automatically. Tatizo papara, ukipata mwingine usiwe na haraka kumtamkia upendo, mweke kwenye penalt ye mwenyewe aanze kuteseka kwa ajili yako.
 
ww ni ras una rasta, nataka kujua wajihi wako kabla sijakushauri yalishanikuta hayo mambo.
 
FANYA U'MBAKE THATS THE ONLY SOLUTION ...prick
 
Kuna msichana ambaye ni Jirani yangu sana na kusema kweli ni mzuri sana. Nilipataga hofu ya kumtongoza kwa sababu ya uzuri wake na ni gate kali. Ila kila alipokuwa anapata upenyo anakuja getto kwangu tunacheki movies na kula kwangu.

Siku moja nikajisemea moyoni kuwa Jamii na masela wangu wataniona kama sitampa mtoto haki yake mbali na kumuoa. Basi kidume nikajipanga na alivyo kuja kwa mara ingine gheto nikampa makavu live bila kupepesa macho. msichana aliniangalia na hakuweza kusema kitu akang'oa nanga na kuondoka.

Sikuwa na haja ya kumsihi arudi kwani alikasirika,ila moyoni nilijua massege sent. Ikapita kama wiki mbili bila kumwona tena ila kwa bahati nilikuwa nakatiza mtaani nikakutana nae akitokea sokoni nikampa hi na akaipokea bila kusita.

Nilivyompita na kumwacha nyuma aliniita "Ras" Lete habari,naomba unisaidie haka kamfuko huku akinitazama kwa jicho la madaha akiashiria kukubalian na ile sms nliyomtumia.

Basi tukiwatunasonga na safari huku story za hapa na pale nikaona ni vyema kumuuliza vp juu ya ile sms. Cha ajabu alikasirika zaidi ya mwanzon na kuninyang'anya kale ka mfuko na kuniambia nimemboa na hataki kampan yangu wala swaga zangu.

Wana JF naommbeni ushauri wenu nimfanyie Suprise gani huyu msichana ili anielewe kuwa nampenda.

mi nipo ubungo nasubir basi,uzi wako unanisogezasogeza wakat nasubir abood lililopo msamvu,komaa nae huyo wala usiogope
 
Wakati nafanya hayo mambo sikuwaga namwambia mtu kama namtaka, everything happened automatically. Tatizo papara, ukipata mwingine usiwe na haraka kumtamkia upendo, mweke kwenye penalt ye mwenyewe aanze kuteseka kwa ajili yako.

ha ha ha ha Hunyu una PhD????ya female saikoloji???
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwendee taratibu, kwanza ulikuwa ulishampata, kitendo cha yy kuja ghetoni na kula pamoja wala hukuitaji kutongoza. any way, usimbake, kama unataka kwenda kuonana na babu seya gerezani mbake.
 
Back
Top Bottom