wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
Wakuu Kuanzia leo Nimekoma kabisa kuchepuka.
Hii tabia niliianza tangu siku nyingi sana,sasa majuzi nikitoka kazini nikakutana na mrembo mmoja maeneo ya sinza afrika sana ilikuwa mida ya saa moja jioni nikiwa napata ulabu katika baa moja nahifadhi Jina la baa, kwa sababu za biashara.
Nikiwa hapo mara wakaja mabinti wawili mmoja wao ni mrembo sijapata kuona,hakuna mwanaume ambaye angeweza kuvumilia jamani,nikarusha ndoana ikanasa,tukapeana miadi,nikiwa home nikamdanganya wife kuwa nasafiri kikazi kumbe ishu ni ni mchepuko,basi usiku wa kuamkia leo nilikuwa na huyo binti kwenye hotel moja maeneo ya mnazi mmoja.
Nilimaliza kumgegeda tukalala,nikashtuka saa 7 na kugegeda tena,tukalala,nilishtuka tena saa 12 alfajiri sikuweza tena kumuona huyo binti,cha ajabu ni kuwa sijamlipa ujira wake,hajaniibia hata cent moja,wala hakuchukua chochote,pesa zangu na simu vyote vilikuwepo,na tulitumia kinga,huyu binti ni hatari,nasema namtafuta popote alipo ni mwanamke wa aina gani huyu,nilimuuliza muhudumu anadai hakumuona akitoka.