Sababu kwanini wanaume hukataliwa na wanawake

Sababu kwanini wanaume hukataliwa na wanawake

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Mnapowatongoza
1. Upendo wa dhati kwa mme wake au
mpenzi wake.

2. Kulinda heshima yake kwa ndugu na
jamaa-kama ameolewa.

3. Kuogopa kupoteza fursa aliyonayo
kutoka kwa mme au mpenzi wake.

4. Hasira ya kutongozwa na mtu
kipanga sana au kiwembe mwenye sifa
mbaya kwa jamii.

5. Tofauti za madaraja kimaisha(Rank).

6. Fikra kwamba mwanaume ana
wanawake wengi.

7. Uoga kwamba mwanaume siyo msiri-
kwa wake za watu na wachumba.

8. Uoga kwamba mwanaume hatakuwa
mwaminifu katika uhusiano.

9. Uoga kwamba mwanume ni mtu wa
matangazo na majigambo.

10. Uoga kwamba mwanaume ana
mhogo wa jang'ombe-kwa wale wenye
papuchi ndogo.

11. Uoga kwamba mwanaume ni mjanja
mjanja.

12. Kama mwanaume alishakuwa rafiki
yake wa kawaida kwa muda mrefu.

13. Kutozipenda tabia mbaya na chafu
za mwanaume.

14. Kuchukizwa na mwaname
kulazimisha mapenzi.

15. Kwa wanawake wenye **** kubwa
na yenye kina kirefu kuogopa kwamba
mwanaume anaweza kuwa na kibamia.

16. Kuogopa kwamba mwanaume
anaweza kupatwa na majanga kwa
kujihusisha naye kimapenzi-kwa wake
za watu na wachumba.

17. Kuogopa madhaifu yake mwenyewe.

18. Kuogopa kufumaniwa-kama ni mme
au mchumba wa mtu.

19. Kukerwa na mvi au umbo baya la
mwanume.

20. Uoga kwamba anaweza kuwa
ametumwa na mme au mchumba wake
kumjaribu uaminifu wake.
 
Mmmh unakataliwa kwa kuwa huna vigezo...ukiwa una vigezo wengine wako radhi kuvunja ndoa zao. Sasa hivyo vigezo ni very subject issue.
 
Una ujumbe, lakini hujui matumizi ya tafsida!!
 
Me nadhani ni moyo tu unakuwa hujapenda. Mapenzi ni upofu.
 
cheza na penzi wewe! penzi la dhati halina kigezo ata mtu aweje akipendwa mtabaki tu kujiuliza huyu naye amempendea nini sweet16
 

Attachments

  • 1414008401094.jpg
    1414008401094.jpg
    16.2 KB · Views: 260
rakini rafiki wanawake wengi wanapenda hera kuriko mapenzi ndio maana tunapiga kila mara huko mkoani mara kuriko mikoa mingine
 
Back
Top Bottom