Mchumba UCC (UDSM)

Mchumba UCC (UDSM)

Chozy

Senior Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
172
Reaction score
47
Anayejitambua awe mrefu wastani, mweupe, mwembamba, mkristo mchamungu wa kumaanisha (RC) umri 18 - 24, awe mwaka wa kwanza ngazi ya diploma. Nipm aliyeguswa
 
Anayejitambua awe mrefu wastani, mweupe, mwembamba, mkristo mchamungu wa kumaanisha (RC) umri 18 - 24, awe mwaka wa kwanza ngazi ya diploma. Nipm aliyeguswa

Kwa hiyo sisi weusi tulie tu! Haya bwana!
 
Washaanza kuja ni sheeeedah!
 
vigezo rahisi sana kimoja tu kimenishinda ndo naingia mwaka wa pili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kaka mbona ucc apa kuna duuz kibao tu, njoo uteme peche apa usiuziwe mbuzi ktk gunia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom