Rate your lover here, be free to express your feelings to him/her

Rate your lover here, be free to express your feelings to him/her

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Well, katika mapenzi ama mahusiano, wapenzi wanakutana na vimbwanga vya aina mbalimbali.

Kuna wengine wanayafurahia mapenzi na kuhisi wapo Paradise, kusiko na shida wala karaha.
Na kuna wengine wanaishi kama vile wako Kuzimu, wapenzi wao wamekuwa kama kaa la moto, wanachoma haswaa.

Haya tuambie hapa, mpenzi wako yupo namba ngapi hapa.

Be free, express yurself, unaweza pata aliye bora zaidi hapa, au ukapata namna ya kuondoa Kovu ulilonalo.

Karibu.

How do you rate your lover?
10356311_1440999826162205_8535871118266399848_n.jpg

 
ila shake money sio mpango wala nini

KAMA MTU HANA HAPO ATACHAGUA NINI
the world is not fair

afu njoonule kiporo chako jana umefanya nimepika chakula kingi alafu hujaja

nakuja baby wangu..... halafu nataka nikutoroshe kabisa kutoka kwenye boma! unaonaje hilo wazo?
 
Back
Top Bottom