We wazazi unao,huwajali,japo hata kuwajulia hali,kama hawana uwezo kuwasaidia inapowezekana nk,ila mambo yako unayajali sana,SIO VIZURI aisee badilika!,usiwe mbinafsi kiasi hicho. Tenga muda wa...
Hivi inakuaje una mpenzi wako mnakaa mikoa tofauti, kukutana kwenu ni miezi miwili kwa mwaka. 6/12 na inatokea umefika kwake mmegegedana kama Siku mbili hivi then siku zinazofuata anakwambia yeye...
Habari za hapa.
During sex:
Hivi ni nini kinafanya baadhi ya wadada kutambua kwamba mtu wake(mume) ameshafika kileleni? na nini kinafanya baadhi ya wadada wasijue Mtu wake (mume) ameshafika...
Nimeona humu kuna wadada ambao wana Hekima mfano; hawo niliowataja natamani wangekuwa ndugu zangu na sio wapenzi nmetengua kauli yangu ya mwanzo ili kulinda heshima yao baada ya kujua ni watu...
Story ni ndefu sana.
Dada wa kwanza anasoma chuo kimoja cha uandishi wa habari jijini Dar es salaam
Dada wa pili anasoma Chuo kikuu SAUT Mwanza
Dada wa tatu anasoma Chuo cha uuguzi...
Kumekuwa na kasumba ya watu kusema Makabila fulani fulani ndio noma kwa jinsia zote mbili Ke,Me.
Hapa ambacho nakutana nacho ni huwezo binafsi wa Mchezaji.
Utakuta toto la Kichaga linasakata...
Hapa hata wale ambao umri umeenda kama unafanya haya basi wewe ni kibinti na ubadilike sasa.
Ni kwenye hizo status zenu huko whatsup na kwingineko muwe mnatumia Lugha zenye staha.
Mfano mtu...
Inasemekana pendo la kweli halifi, na ndivyo ilivyonitokea kwangu baada ya kutoswa na mdada mmoja tuliepenana kiasi cha kutoelezeka,lakini kwa sababu mbalimbali ikiwemo wazazi tamaa na kikubwa...
Ilikuwa muda mrefu toka wife asafiri kikazi (3months). Training kama hizi (nilikuwa kwenye training ya vitengo mbalimbali Hotel moja inaanza na K Morogoro,zilishanisababishia majanga back then...
Hivi nyinyi mnaotafuta wachumba kupitia mitandao ya kijamii,inamaanatangu mzaliwe, huko mnakoishi hamjawahi kuwaona wanawake/wanaume wa kufunga nao Ndoa. Au wanaume/wanawake wa kwenye social...
Habari za usiku wana Mmu. Mimi ni Daktari mwanafunzi Chuo cha udakitari Bugando. Natafuta girlfriend awe na umri wa Miaka 18 hadi 24. Mawasiliano zaidi namba yangu ni 0652776485. Picha yangu ni Pm...
Habari wana jamvi.
Wiki kama mbili zilizopita, niliandika nikitafuta mke wa kuoa. Nilipata wawili, lakini niliona mmoja ananifaa zaidi na tukaanza process.
Ajabu saizi anautesa moyo wangu kwa...
Wanawake wengi sana walioolewa ukiongea nao kuhusu waume zao watakwambia hivi, ,,kusema ukweli mimi mume wangu hakuwa chaguo langu kabisa, sema ndiyo hivyo tena Maisha, nilikuwa na boyfriend...
Hasira ni kitu kibaya sana kwa Binadamu, wapo binadamu ambao huwaga hawependi kupatwa na hasira lakn huwaga inatokea tu,
hasira ni maumivu makali anayoyapata binadamu kutokana na kile anachoona...
Hili no jambo la kusikitisha sana. Ndoa siku hizi zinavunjika Sana tofauti na miaka ya nyuma. Tatizo liko wapi?
Nimesimuliwa kisa kimoja juzi,kuna jamaa amefunga ndoa mwezi Desemba,2014,ndoa...
Nakumbuka jamaa yangu mmoja alikuwa akiniambia haitokuja tokea kumuoa huyu binti niliokuwa naye.
Sababu kubwa aliokuwa akitoa ni kupishana mwaka 1 na binti. Akawa ananiambia atakuja kuniacha...
Kaka mmoja ninafanya nae Kazi hapa Ofisini, mke wake ni Mwalimu. Wameoana ni Miezi sita sasa, mke hajui kupika kabisa na huyu kaka anaiambia wife akipika chakula hakina ladha kabisa.
Mama mkwe...
Wanawake 56 wamekufa kwasababu ya kutumia PAD moja siku nzima. Kuna kemikali kali zinatumika kwenye Ultra Napkins ambayo inabadilisha liquid kuwa gel inayoweza kusababisha cancer kwenye bladder...
Habari wanajamvi, hii tabia iko hasa kwa wanawake naamini kuwa every one is different ila kuna vitu vingine huwa vinaboa
1)Unakuta mtu unamuandikia mwanamke text ndefu ya maana (sio love text)...