Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,099
- 38,714
Inasemekana pendo la kweli halifi, na ndivyo ilivyonitokea kwangu baada ya kutoswa na mdada mmoja tuliepenana kiasi cha kutoelezeka,lakini kwa sababu mbalimbali ikiwemo wazazi tamaa na kikubwa hali yangu ya Kiuchumi aliniacha Miaka miwili sasa.
Kwa vile nilivyompenda imeniwia vigumu kumsahau kiasi haipiti siku sijamkumbuka nimesha jutia na kujutia nimeshajifanyisha kama jambo hili halijawai kutokea lakini sijasahau.
Nimejaribu kutafuta mwingine lakini zaidi ya kunichukulia hela vyangu hakuna aliekubali lakini kati ya hao ambao tokea mwaka juzi nimeshapoteza laki nne, sijawahi kumuona msichana yoyote aliefanana nae. Sijui nyie wakubwa muliwezaje kuliua pendo la kwanza kwenye mahusiano yenu.
Kila la heri.