youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Hivi nyinyi mnaotafuta wachumba kupitia mitandao ya kijamii,inamaanatangu mzaliwe, huko mnakoishi hamjawahi kuwaona wanawake/wanaume wa kufunga nao Ndoa. Au wanaume/wanawake wa kwenye social networks ndo wanajua sana mapenzi.