Nakumbuka jamaa yangu mmoja alikuwa akiniambia haitokuja tokea kumuoa huyu binti niliokuwa naye.
Sababu kubwa aliokuwa akitoa ni kupishana mwaka 1 na binti. Akawa ananiambia atakuja kuniacha.
Lakini sasa ni mke wangu wa ndoa. Swala hili hulifananishaga na kitabu kinachoitwa "ZAWADI YA USHINDI"