Ukiwa mjini kabila sio ishu, nenda ukajionee

Ukiwa mjini kabila sio ishu, nenda ukajionee

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Kumekuwa na kasumba ya watu kusema Makabila fulani fulani ndio noma kwa jinsia zote mbili Ke,Me.
Hapa ambacho nakutana nacho ni huwezo binafsi wa Mchezaji.

Utakuta toto la Kichaga linasakata kabumbu full ushirikiano, ila ukavuta wale wa TA ukakuta umeenda na mgomba uwanjani.
Sasa wale wazee wanaogea Sabuni za GIV mara kwa mara ukiwa Mjini usijudge Kabila nenda kajioneee ,je yaliyomo yamo.
 
Na ndio maana tunasema ktk "soka" hakuna uchawi!
 
Kama utanielewa "kusoma kuelewa kukesha mbwembwe"
 
Ila mjasiri haachi asili bana..So TA blood tu tosha sana..hot hot.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom