Je, wanawake siku zote huolewa na Last Choice?

Je, wanawake siku zote huolewa na Last Choice?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,755
Reaction score
18,661
Wanawake wengi sana walioolewa ukiongea nao kuhusu waume zao watakwambia hivi, ,,kusema ukweli mimi mume wangu hakuwa chaguo langu kabisa, sema ndiyo hivyo tena Maisha, nilikuwa na boyfriend niliyempenda sana na huyo ndiyo alikuwa chaguo langu lakini hasomeki na hajatulia hivyo nikaamua tu kuseto na huyu jamaa lkn kiukweli Siyo chaguo langu kabisa".

Haya maneno nimesikia nayo sana kutoka kwa Wanawake sasa Je, Wanawake huolewa na Watu ambao sio chaguo lao la kwanza?
Na kama ni kweli labda ndiyo sababu ya wake za watu kuchepuka sana kwa maana anakuwa hana mapenzi ya kweli na mume wake na siku yule mpenzi wa zamani anayempenmda kiukweli akiomba mchezo atampa tu!
Sijawahi kukutana na mwanamke aliyeolewa na akaniambia ya kwamba Mume wake alikuwa first choice.
 
Hahahhahaaaaaaaaaaaaa! Ngoja mie nikae kimya tuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! Nikiongea nitatibua nyongo.
 
You're right on this one. Wachache sana watakuambia 'he was my choice'...wengi wanajifunza kupenda wakiwa ndani, if at all they even fall in love..!
 
Mwanaume anakua first choice akiwa na pesa ..bila pesa ul always be an option tena z last option.
 
if it were a last resort..''marriage could be felt like life imprisonment with hard labor"...worse enough..There is no parole for good behavior...
 
Ni sawa halafu pia siyo sawa....kwa sababu pia ni kweli na pia siyo kweli,kwa sababu pia ya uchunguzi wako siyo mpana...
 
Ukiona mwanamke anakuambia hivyo ujue anataka umtongoze. La sivyo atamsifia na kumpamba mume wake. Na mara nyingi wanawake wenye majibu hayo ni wale ambao walioolewa kwa kutegemea makubwa alafu wakakuta siyo. Lakini kama akikuta safi hawezi sema hayo maneno.
 
Mwanaume anakua first choice akiwa na pesa ..bila pesa ul always be an option tena z last option.

Inferiority complex inakusumbuwa, utaendelea kula kwa macho wenye uthubutu wanafaidi uumbaji wa Allah, mbona wanawake wengi wa kileo wanatoka na kuolewa na wanaume wanaowazidi uchumi?
 
kama kuna kaukweli fulani hapa!!! most hilo ndio huwa jibu lao, japo kuna walioolewa na their choices, Eeeeeh Mungu niepushe na hilo janga!!! hv unaishije na mtu usompenda!!! ukimuona unayoyawaza kichwani mwako ni dhambi tu!!! khaaaa!!
 
You're right on this one. Wachache sana watakuambia 'he was my choice'...wengi wanajifunza kupenda wakiwa ndani, if at all they even fall in love..!

na wengine hushindwa kabisaaaa kujifunza kupenda!! mioyo ya watu ina siri nyie acheni tu!
 
Hawajui nini ni best choice kati ya PESA na MAPENZI YA KWELI.
 
Inferiority complex inakusumbuwa, utaendelea kula kwa macho wenye uthubutu wanafaidi uumbaji wa Allah, mbona wanawake wengi wa kileo wanatoka na kuolewa na wanaume wanaowazidi uchumi?

Endelea kuota.....
 
Hawajui nini ni best choice kati ya PESA na MAPENZI YA KWELI.

vyote vinatakiwa viwepo, bila pesa pia tusidanganyane hakuna kitu hapo, so hivyo ni pande mbili ya sarafu vinavyotegemeana, kubali kataa thats the truth.
 
Endelea kuota.....

Wewe akili yako ndogo sana unadhani Jide alikuwa anampenda sana Gadner kwa sababu Gadner ana pesa kuliko Jide?

Baki na akili mgando endelea kuwaangalia Wakongo wanavyowagonga dada zenu wenye pesa zao huku wewe unawaogopa hata kuwasalimia.
 
vyote vinatakiwa viwepo, bila pesa pia tusidanganyane hakuna kitu hapo, so hivyo ni pande mbili ya sarafu vinavyotegemeana, kubali kataa thats the truth.

#atotoo in reality, wanawake kuna vitu vingi vinawachanganya.

Kuna wanaotak ndoa ili wakianza kufanikiwa basi wawe wote kwa hofu ya kwamba watanyanyaswa na mwanaume.

Kuna wale wanaoangalia pesa tu

Kuna wale wanaotaka mapenzi ya kweli

Vyote kwa pamoja haiwezekani kwa dunia ya sasa.

Naamini ndoa ni baraka na moja ya njia ya mafanikio. Either he has money or no money, go in kila kitu kitakuwa fresh ilimradi tu awe na uwezo wa kutunza familia. The overflow blessing will follow you accoring to your attitude in your ndoa.
 
Back
Top Bottom