Kwanini ndoa nyingi siku hizi hazidumu?

Kwanini ndoa nyingi siku hizi hazidumu?

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,423
Reaction score
8,367
Hili no jambo la kusikitisha sana. Ndoa siku hizi zinavunjika Sana tofauti na miaka ya nyuma. Tatizo liko wapi?

Nimesimuliwa kisa kimoja juzi,kuna jamaa amefunga ndoa mwezi Desemba,2014,ndoa hiyo imevunjika Januari hii. Mwanamke anadai hamtaki tena mumewe kwakuwa amepata mwanaume mwingine. Suluhu imeshindikana pamoja na kuhusisha viongozi was dini na ndugu wa pande zote mbili.
 
Wanaoana kwa fashion, wanaachana kwa fashion. Hayo ndio maisha ya kisasa.
 
Afadhali kwa kuwekawqzi ashukiru Mungu aje kwa stroke anatqfuta wakumliwaza!!!
 
Watu hawana elimu ya ndoa, wanaoana kwa matamanio ya mwili tu ili kuhalalisha wayafanyayo, maisha wanayoishi kabda ya ndoa ni kuiga tamthilia.
Dawa ni kuacha kutoa mchango wa harusi labda aje na guarantee ya angalau miaka 20
 
UTANDAWAZI...Ndiyo chem chemi ya songombingo na tabia changanyikeni zinazoendelea kustawi ktk jamii yetu.

UTANDAWAZI...umeweka mambo hadharani kwa watu wenye upeo mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo kwa usahihi. Mwanaume shika sukani yako vema uiongoze hii jamiii. MWANAUME you should take care of this issue and every thing is gonna be allright.
 
Tatizo watu wanaona ndoa ni fashion.Wanafunga ndoa ili waonekanike tu na wao wameoana ila kiundani mapenzi hawana
 
mapenzi yenyewe ya kukutana kwenye social media km jf,wrong number au kwenye basi unategemea death to do them apart?!!!
 
Watu wanaigiza sana siku hizi hasa wanawake.anafunga ndoa tu ili apate status kwenye jamii inayomzunguka hawajui kuwa maisha ya ndoa ni zaid ya status .
Tatizo lingine ni over expectation for both hasa wanawake na kutovumiliana kujua kwamba mwenzangu si mkamilifu wanafikiri kuachana ndilo sululisho.
Dah elimu ya ndoa inahitajika sana kwenye jamii yetu.pole sana kwa huyo kaka
 
ndoa za kuringishia jamii ndo zinakuwaga hivyo bidada aliolewa mradi aonekane na yeye kavaa shela
 
Watu hawana elimu ya ndoa, wanaoana kwa matamanio ya mwili tu ili kuhalalisha wayafanyayo, maisha wanayoishi kabda ya ndoa ni kuiga tamthilia. Dawa ni kuacha kutoa mchango wa harusi labda aje na guarantee ya angalau miaka 20
Tutaoa ndugu kwa hill uwiiii
 
Wanaoana kwa fashion, wanaachana kwa fashion. Hayo ndio maisha ya kisasa.

Kuoana ni sehemu mojawapo ya tatizo. Siku hizi ndio msemo 'wameoana'. Mwanaume anaoa, mwanamke anaolewa period. na hii ndio tafsiri kamili hata kama umekulia kwenye Kiingereza - getting married (narudia) translation yake ni 'mume kuoa, mke kuolewa'.
 
Tatizo watu wanaona ndoa ni fashion.Wanafunga ndoa ili waonekanike tu na wao wameoana ila kiundani mapenzi hawana

Wajameni mume na mke ni kuoa na kuolewa, sio kuoana! Kwenye reception nyingi utasikia hili neno/ msamiati, sehemu ya tatizo.
 
kipi cha muhimu?

ndoa nyingi zudumu hata kama watu hawana furaha nazo

au ndoa chache zidumu zenye furaha?
 
Watu hawana elimu ya ndoa, wanaoana kwa matamanio ya mwili tu ili kuhalalisha wayafanyayo, maisha wanayoishi kabda ya ndoa ni kuiga tamthilia.
Dawa ni kuacha kutoa mchango wa harusi labda aje na guarantee ya angalau miaka 20

Wewe ni mtu wa tatu humu katika postings nilizozisoma unatumia neno 'kuoana'. Mume anaoa, mke anaolewa, hata kama umefanya translation ya Kiingereza - getting married; ifanyike kwa usahihi!!
 
Wewe ni mtu wa tatu humu katika postings nilizozisoma unatumia neno 'kuoana'. Mume anaoa, mke anaolewa, hata kama umefanya translation ya Kiingereza - getting married; ifanyike kwa usahihi!!

Kuoa + kuolewa = kuoana
Na ndio maana baadae "wanaachana" au hiyo "kuachana" sio sahihi??
 
Hili no jambo la kusikitisha sana. Ndoa siku hizi zinavunjika Sana tofauti na miaka ya nyuma. Tatizo liko wapi?

Nimesimuliwa kisa kimoja juzi,kuna jamaa amefunga ndoa mwezi Desemba,2014,ndoa hiyo imevunjika Januari hii. Mwanamke anadai hamtaki tena mumewe kwakuwa amepata mwanaume mwingine. Suluhu imeshindikana pamoja na kuhusisha viongozi was dini na ndugu wa pande zote mbili.

Ningekuwa mimi ndio huyo bwana harusi ningekubali aende zake na ningemtakia maisha mema na huyo mchumba wake mtarajiwa. Na ningedai ambavyo urudishwa kama mahali. Je, ndoa imevurugika baada ya honeymoon?

Tatizo jingine nafikiri ndio maana watu wengi wanatumia neno kuoana siku hizi ni pale bibi harusi anapochangia mahali iliyotamkwa na wazazi wake badala ya kuwa-influence waishushe mpaka pale bwana harusi anapamudu.
 
Mimi nadhani uyo mwanamke ana mapepo inabid aombewe sana, alafu uyo jamaa amwache uyo mwanamke aijalishi awe amezaa nae au laaah coz ana tamaa xna ato fika nae mbali
 
Back
Top Bottom