happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Ni mdogo wangu, kazaa na jamaa na huyo jamaa hakumuoa kisa anadai hawakupanga kumuoa mdogo wangu kaonaisiwe tabu kwakua anakazi yake anamlea tu mtoto wake vizuri.
Ukweli mdogo wangu anampenda sana jamaa anashindwa kumsahau kabisa jamaa anashindwa kumuelewa sababu huwa anamtext kila siku asubuhi mara imiss u, mara unakuja lini? maana wanaishi Mikoa tofauti anaweza amwambie njoo mara akapotea tena hewani asimtafute hata wiki.
Mdogo wangu anakuta kajizoelea anaibuka tena ilove u mdogo wangu anamjibu jamaa kimya tena hata siku 4 au wiki na hata text zake mara nyingi aulizii hata habari za mtoto yeye ni i love u, i mis u,mara unakuja lini na akishajibiwa anapotea hata wiki kumbuka hapigi ni massege tu.
Mdogo anashindwa kumuelewa kumbuka anampenda sana na anatamani warudiane hali kama hii ya jamaa inamtesa anashindwa hata kumove on kaniomba ushauri anataka abadilishe kabisa lain ili wasiwasiliane ili iwe rahisi kwake kumove on maana hata kulea mtoto hamsaidii au wabaki tu kuchombezana japo inamuumiza sana moyoni.