Kwanini ndiyo,wakati hataki?

Kwanini ndiyo,wakati hataki?

Waziir Hamad

Senior Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
102
Reaction score
25
Poleni na majukumu ndugu,I hope you're all fine.

Kuna kitu kinanisumbua kiakili wakati mwingine inaniingia automaticaly nabaki kujiuliza "why I'm falling in love with a girl who can't fall in with me?" inaniuma kiukweli.

Mara ya mwisho tuliwasiliana akiwa ana apply college cha uwalimu na kucompromise kwamba tutakuwa tukiwasiliana till nikipata nafasi ya kumfuata chuo.

Lakini cha ajabu namba zake zote hazikupatikana tena mpaka nikakata tamaa na kujaribu kuulizia kama alibadili line,juzi kati ya januwari nikapata namba yake na kumpigia akawa amenambia alipotelewa na simu that's why hapatikani.

Lakini anaongea kama hataki mwenzake naongea kwa bashasha na kujaribu kumweka sawa lakini still ana maswali ya ajabu,ooh unacheka nn sasa? n.k,sometimes ananikatia simu without reason.

Now I think she is'nt girl for me,maybe she date other guyz and tell me lies,now I'm about to reject her,nishaurini wakuu inaniuma sana coz nampenda kiukweli.kwanini hakunikatalia kuliko kunitesa.why wasichana wanakuwa hivi.
 
Kama kusoma haujui hata picha hauioni?Hakuna mapenzi ya upande mmoja chapa lapa,omba MUNGU utapata mwingine
 
Too much attention to a lady who doesnt care kills.

Akikata, na wewe kata.

There are lot of birds out there! Huna manati ya kuua njiwa ama?
 
Had hapo tafta njia uende huyo ndo kashakubwaga huyo huna chako mkuu
 
usipoelewa na hapa basiiiiiiii.
 

Attachments

  • 1418148638642.jpg
    1418148638642.jpg
    19.4 KB · Views: 750
Wameshakusaidia kazi kijana,jipe moyo tafuta mwingine utapata unayefanana naye!
 
mi sion huyo dada ana makosa jaman. mlikuwa wapenz mlitongozana tu. sasa ulitaka awe attention nawewe wakati hamjawa real wapenz . kama ulikuwa unatongoza kwa fashion tu kama ilivyo wengine? kama unamhitaj mtafute muonane mkubaliane baada ya hapo akivunja makubaliano ndo ulalamike.
 
Yani unasema your about to reject her wakati wewe ndio unae mfatilia na kumtaka.
 
Kama hujawahi kumtumia au kumpa hela kabla au hata baada ya kupata hiyo number yake nyingine hilo linweza kuwa tatizo kubwa sana.
 
Kijana naona huyawezi mapenzi wewe na utaishia kuumia tu...

Mwanaume unapaswa ujue kuwa unapendwa au lah kabla ya kustrike...

Na once ukijua unajipendekeza tu basi unajitoa mapema na si kung'ang'ania kama ufunguo kwa kitasa...
 
Kwanza pole kwa kuzama kweny dimbwi la kupenda...huyo awez kuwa chaguo lako we angalia upande mwingne...lakn kupenda ndo kunafanya kusahau yote uliyo tendewa nyuma...uc choke kupenda
 
Back
Top Bottom