Nina swali la muhimu

Nina swali la muhimu

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Kaka zangu na dada zangu.

Is it normal x wife kumualika x husband na mkewe dinner.Mama mkwe wangu widowed anafanya dinner kumualika baba mkwe wangu na mkewe .Waliachana miaka 40 iyopita.

Mnaonaje hapa?mie labda uafrica umenizidi ila mnaonaje niende au nimweleze mme wangu sipendi.Kwakweli mie mkatoliki sipendi ushenzi wa tabia au mnaona na over react.
 
We ndo umepanic!kwani we unajua kwa nini waliachana?halafu huyo si ni mzazi mwenzie shida iko wapi?na hata hivyo kwa maelezo yako hao wakwe zako washakuwa watu wazima miaka 40 iliyopita si mchezo ongeza miaka walokaa kwenye ndoa na kupata watoto,mpaka hapo washakuwa watu wazima na wanajua wanachokifanya.Na je we unajua life style ya Huyo baba na x wife wake baada ya divorce?

Cha msingi kama hutaki kwenda dinner that day usiende,ya ngoswe mwachie ngoswe wao wanajuana!!
 
Sasa hapo ushenzi wa tabia nini????????
Kumualika mzazi mwenzie na mkewe ni sawa kabisa, kama angemualika huyo baba peke yake hapo labda ningejiuliza kidogo!! wewe ni mwanamke fikiria umeolewa na umezaa na mumeo watoto hata 4 then mkaachana, wewe ukaolewa tena na babaa akaoa, ukaja ukafiwa, ushindwe kuialika familia ya mume uliezaa nae??????? binasfi sijaona kosa ila naona huyo mama kwa ujane wake anajaribu kutengeza ukaribu na watu, akiwemo huyo mke mwenziea,
Alafu kwenye ndoa mambo kama hayo huwa tunayaangalia tu, kifupi tunasema HAYATUHUSUUUUUUUU,
Kifupi mama yupo sahihi kwa kua kawaalika wote mume na mke, hata dini yetu katoliki haikataziii kwasababu sio zambi na sidhani kama ana nia mbaya. na wala sio uswahili ila ni udhungu zaidi, huyo mama lazima shule ipo. mengine jiongezeeee.
 
Baba mkwe wangu bado yupo na mkewe na mama mkwe wangu mumewe Kafa .suddenly anafanya dinner na anawaalika na mume wangu ni wazazi wake .Mimi sipendi kwa Sababu inaelekea mama mkwe bado anampenda baba mkwe wangu .
 
Mama mkwe wangu alimweleza mume wangu bado anampenda mumewe wa zamani
 
Mume wangu na wifi yangu walimuuliza kulikoni.mama mkwe wangu mapepe Fulani hivi
 
ndo mana nimekuuliza unajua SBB ya wao Ku divorce na mazingira ya divorce yao?hapa ndo utajua kama mama mkwe wako bado anampenda mume wake wa zamani au la!!huenda anataka kampani tu.
 
X mas na birthday za watoto tunawaalikaga wote Ana behave very strange .mume wangu na wifi yangu hawapendi .its extremely uncomfortable Mara alete wine Mara aanze kucheza noma banaa
 
bora hta huyu kaweka bayana kuwaalika kwenye dinner
wengine wanaalka baba tu wanakutana lordge
 
JF bwana!! simply,wewe deal na mumeo,ya mama mkwe muachie yeye mwenyewe na feelings zake,ulimkuta hivyo kwenye hiyo familia,huwezi kumbadilisha leo,stick with your guy na watoto wako,mengine yaache,utajibebesha gunia la misumari!
Mume wangu na wifi yangu walimuuliza kulikoni.mama mkwe wangu mapepe Fulani hivi
 
ndo mana nimekuuliza unajua SBB ya wao Ku divorce na mazingira ya divorce yao?hapa ndo utajua kama mama mkwe wako bado anampenda mume wake wa zamani au la!!huenda anataka kampani tu.
Alimuacha baba mkwe wangu wakati mume wangu Ana miaka 2 na dada ake 1.akaingia mtini akaolewa gold digger.rich man after rich man sasa mumewe akafa ghafla akaanza kujialika mwenyewe.na huyo mumewe alikuwa very abusive .
 
Baba mkwe wangu bado yupo na mkewe na mama mkwe wangu mumewe Kafa .suddenly anafanya dinner na anawaalika na mume wangu ni wazazi wake .Mimi sipendi kwa Sababu inaelekea mama mkwe bado anampenda baba mkwe wangu .

Hako ni kapepo ka wivu, uzandiki na uchonganishi KEMEA he is her x not enemy tena anawaalika na mkewe, na wana mtoto/watoto sionj hata doubt inatoka wapi
 
ndo mana nimekuuliza unajua SBB ya wao Ku divorce na mazingira ya divorce yao?hapa ndo utajua kama mama mkwe wako bado anampenda mume wake wa zamani au la!!huenda anataka kampani tu.
Alimuacha baba mkwe wangu ila alivyotaka kurudi baba mkwe wangu alamtosa.hawa ni wazungu they kill for love that is my fear
 
Mama mkwe wangu alimweleza mume wangu bado anampenda mumewe wa zamani

Kuna sehemu nilishawahi soma kwenye biblia japo siyakumbuki vizuri Yale maneno ni kitabu gani.Biblia imesisitiza usimwache mke wako wa ujana,na imesisitiza kuwapenda wake wa ujana,hivyo huyo mama kama kweli alikuwa mkewe halali mi sidhani kama anakosea,ndo mana nikauliza mnajua SBB ya divorce yao?
 
Hako ni kapepo ka wivu, uzandiki na uchonganishi KEMEA he is her x not enemy tena anawaalika na mkewe, na wana mtoto/watoto sionj hata doubt inatoka wapi

Wivu wa nini.mama mkwe wangu ashawaambia wanae bado anampenda baba Yao .situation is very complicated kwa Sababu mume wangu anajisikia vibaya kwa Sababu aliwatenga wanae wakalelewa na mama wao wakambo.Tunamuheshimu Huyu mama .na Huyu mama wa kambo ashalalamika
 
Kuna sehemu nilishawahi soma kwenye biblia japo siyakumbuki vizuri Yale maneno ni kitabu gani.Biblia imesisitiza usimwache mke wako wa ujana,na imesisitiza kuwapenda wake wa ujana,hivyo huyo mama kama kweli alikuwa mkewe halali mi sidhani kama anakosea,ndo mana nikauliza mnajua SBB ya divorce yao?
Alikuwa Ana cheat
 
Alimuacha baba mkwe wangu ila alivyotaka kurudi baba mkwe wangu alamtosa.hawa ni wazungu they kill for love that is my fear

Sasa swali,je baba mkwe wako na mkewe wame accept mwaliko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom