Wanaume huu ni ukatili

Wanaume huu ni ukatili

celline

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
11
Reaction score
0
Wanaume ni Baba zetu, lakini nimeumia sana kuona baadhi ya wanaume wanaopewa heshima ya kuitwa baba kuwa na Roho za kinyama.

Kuna binti ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya msingi alibakwa na wanaume wawili, miezi 2 iliyopita baba mtu aliwafata vijana na police jamii na kuchukua pesa kwa wale vijana na kuwaachia bila kuwafikisha popote' watuhumiwa.

Leo hii binti anasimulia amekimbia kwao baada ya baba yake kumbaka, anasema baba wakati anafanya kitendo anamwambia mbona wale wengine walikufanyia leo zamu yangu' Aisee huyu binti amenisikitisha sana' mwanaume alikamatwa ametolewa,

Mama wa binti amejifungua mtoto wiki moja sasa. Huyu mama anasema mme wake huyo aliwahi kufungwa kwa kosa la kubaka miaka 15 alipotoka alimkuta huyu mkewe na mtoto ambaye ndo huyo aliyebakwa lakini anasema mila zao za kikurya huyo ni mtoto wa mumewe.

Jamani wazazi acheni kuwanyanyasa watoto na kuwakosesha raha.
 
Ni mijinga hii mijitu ione hivihivi imevaa suruali inapendeza
 
Unadhani kwa nini wamewafananisha wanaune na kile kitoweo cha iringa????? (Msinirushie mawe jama sio wanaume wote)

Ila kosa lilianza zamani...hivi mwanamke unajua mwanaume mbakaji utakubalije akuoe????

Na hao waliombaka Hao...acha ti nisiongee sana nisije kuhukumu
 
Sihalalishi hili
but deep down unaweza kukuta huyo baba anajua kabisa huyo binti sio damu yake

unless mtu awe na serious mental issue ndo anaweza kumbaka binti wa damu yake kabisa

ingawa kubaka ni kubaka still....
 
Unadhani kwa nini wamewafananisha wanaune na kile kitoweo cha iringa????? (Msinirushie mawe jama sio wanaume wote)

Ila kosa lilianza zamani...hivi mwanamke unajua mwanaume mbakaji utakubalije akuoe????

Na hao waliombaka Hao...acha ti nisiongee sana nisije kuhukumu

No anasema alibaka wakati alishamuoa akafungwa...' sasa mama nae anavumilia tu
 
Kuna wanaume ni kama mbwa akili zao,hizi ishara za dunia kufika mwisho,LAANA kila sehemu!
 
hii hali inaweza kusababisha huyu mtoto kuchukia wanaume na kuwa katili akikuwa, mbaya zaidi hana msaada.

Na wewe ni jambo gani baya lililokusibu hata kujumuisha wanaume wote katika title?
 
Back
Top Bottom