Tupimane uwezo na tupeane nafasi

Tupimane uwezo na tupeane nafasi

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Katika huu mtaa wetu wa MMU ungependa kukutana na nani live? Eleza kwa ufupi step by step mwanzo hadi mwisho munaagana amekupa siku nzima!

Je, wewe uliyetajwa ungependa kutoa nafasi kwake kulingana na maelezo yake? au wapi arekebishe ili umpe nafasi?
 
mmmmmh!!!!!! hii ni part 2 ya ungependa kutoka na nani au? cc Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
:coffee: Hamisi Vs Mwajuma :dance:
 
Hod, hodi , hodi , mimi ni mgeni kidogo katika huu mtaa na JF kwa ujumla ila mara kwa mara hua napitia kwenye thread mbali mbali za huu mtaa wenu.

Back to the Topic, mimi natamani sana kukutana na Rose M, I dont know the reason but i feel like meeting her . Kama ntapata nafasi hiyo cha kwanza ntakachomuuliza ni kuhusu hobby zake , kama ni movies basi ill take her to watch movies in a very nice Cinema hall, kama ni clubbing then ill take her to a nice Club(Of her choice) kama ni maji then ntampeleka akapate hayo maji kadri ya uwezo wake kwa sehemu atakayochagua then ill take her home(where she lives)
Ni hayo tu. But i dont knw her marital status thats the problem, but its okay with me either way , the offer stands.
 
Rose M, njoo na wewe ufunguke wapi ungependa arekebishe ili upate kutoa hiyo offer! Hongera kijana ku-sacrifices maana hata kama wewe hupendi kwenda mahali inakulazimu kwenda kufuata matakwa ya Rose M!!!!!!!!!!!
 
ningetamani kukutana na Elli na Watu8 hawa watu unifurahsha sana wanapochangia thread big up kwao.
 
naomba utueleze siku nzima step by step utaanzaje na mmojawapo hadi mwisho!
 
Hiki nini sasa, alafu mwisho wake nini .????????....ndio maana MMU inapoteza mwelekeo.
 
Madam B sijui kajipa ban humu??
Nampenda sana huyu mdada.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom