Hata kama hupendi Ukweli Mchungu No 4

Hata kama hupendi Ukweli Mchungu No 4

Joined
Jan 23, 2015
Posts
14
Reaction score
6
:hatari:
attachment.php
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    84 KB · Views: 550
kuna watu wana mioyo bana ushajua kabisa huyu mke Malaya unaoa asee
 
ha ha ha ha ha uuupsi ivi malaya unaosema ni wapi????kina nani???anayejiuza ohio,kimboka or????o!!!!!!

mbona watu kibao malaya wa kimya kimya hawafanyi advertisement,hawana promotion waala offer.....

mwanaume kwenye simu anadate na six gal je hyo sio malaya

mwanamke ana wanaume kadhaa,kuna wa pesa,mwngine ana body ya kutoka out,mwingine kazini je huyo nae

ni vigumu sana kumjua malaya kwa maana moyo wa mtu ni kiza kinene chenye kutunza siri MUOMBE MUNGU AKUPE MKE/MUME BORA.....

kuchepuka kwa mtu ni tabia yake hta umfaye nn kama wa kuchepuka atachepuka tu
 
Thats my girl....
 
Mbona mie ndo nawapenda hao Malaya...so wale wanaouza pale Ambiance na kwa Wahaya temeke
 
Kuna wakati kaka yangu aliwahi kuniambia nitafute malaya wanaojiuza nioe..khaaaaa!
Eti wakamua kutulia kwenye ndoa hawaangitangi tena..!
 
Back
Top Bottom