Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
704
989
Habari wana MMU

Naanza moja kwa moja na tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu ana umri wa 26.

Kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na mimi na anasema hayuko tayari kwa sasa, ila anakaa kwangu na mimi nampenda sana.

Sasa nifanyeje ili anikubali.Je kuna dawa au au mbinu gani nifanye ili akubaliane na Mimi. Au kuna mtaalamu wapi anipe Mbinu au dawa.

Nisaidieni nampenda sana na bado nipo nae home kwangu pia ningependa kuzaa naye.
 
Chukua kamba ujivike shingoni kwanza funga juu ya mti kisha panda kwenye kiti kilefu weka kamba shingoni taiti kido kisha mwambie apige kiti kwa nguvu,kitakacho tokea utajua anakupenda.

swissme
 
Huu Ushuri bado sio muafaka ninampenda ila anasema yupo tu Kama Mpenzi na sio ndoa.
 
Habari wana MMU

naanza moja kwa moja na tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu Ana umri wa 26 kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na Mimi kwa kuwa anasema hayuko tayari kwa sasa na wala hataki kuolewa na Mimi ila anakaa Kwangu na Mimi nampenda sana ila yeye hayuko tayari. Sasa nifanyeje ili anikubali? Je kuna dawa au au mbinu gani nifanye ili akubaliane na Mimi. Au kuna mtaalam wapi anipe Mbinu au dawa.
Nisaidieni nampenda sana na bado nipo nae home Kwangu.

huyo hana mpango na wewe anatafuta pakutokea tu na akijakupata utalia nahisi. Chamsingi fanya hivi bora upate kabisa au ukose kabsa. Ongea kama mwanaume mpe option either akubali mahitaji yako au asepe zake
 
kuna wanaume mapoyoyo kweli mtoa mada samahani kwa kukutusi .. upo na mwanamke eti siwezi kukuzalia mtoto, huwezi nioa sasa kaja kufanya nini pale jkama hayo hawezi kubaliana nayo au unatatizo la kimaumbile anakufichia siri...?
sikujua wanaume nao huchezewa na kupotezewa muda hadi wanatafuta limbwata!.
 
Sasa kama hakutaki hapo kwako kinamkalisha nini???
Au wewe unamuonyesha kama unaunapenda sana kwa hiyo anatikisa kiberiti.
Historia yao ikije??? asije akawa kakimbia njaa kwao.

SASA KUNA PLAN A na B:
A) Huyo wewe achana nae tena kwa amani, mwambie kuwa umri ulionao unahitaji mke sio girlfriend, kwa hiyo kwakua wew haupo tayari basi wacha nitafute aLiye tayali kuolewa.

B) Tafuta mwanamke mwingine ambaye utaona anakufaa, pimeni afya mtie mimba hiyo ni tiketi ya kumuoa. huyo bidada muache aendelee kuwa ajuza ndio atajua kuwa alipoteza bahati.

habari ya kusema nampenda sana achana nayoo, kumpenda ndio mdudu ganii Arghhhaaa!!
 
kuna wanaume mapoyoyo kweli mtoa mada samahani kwa kukutusi .. upo na mwanamke eti siwezi kukuzalia mtoto, huwezi nioa sasa kaja kufanya nini pale jkama hayo hawezi kubaliana nayo au unatatizo la kimaumbile anakufichia siri...?
Yupo kwangu Kama Mpenzi ila mi nataka anizalia mtoto sasa hataki
 
tishia kumfukuza kwako, mana nnawasiwasi hana hifadhi huyo so unachukua majukumu ya UNHCR
 
we jamaa wacha umbilimbi bana,,,, keshakwambia hakutaki...nini cha zaidi unalialia hapa, tena kakwambia mwenyewe.. dawa ni wewe kuhama mpe vitu vyote hama hapo,,, mbwiga wewe....
 
Sasa kama hakutaki hapo kwako kinamkalisha nini???
Au wewe unamuonyesha kama unaunapenda sana kwa hiyo anatikisa kiberiti.
Historia yao ikije??? asije akawa kakimbia njaa kwao.

SASA KUNA PLAN A na B:
A) Huyo wewe achana nae tena kwa amani, mwambie kuwa umri ulionao unahitaji mke sio girlfriend, kwa hiyo kwakua wew haupo tayari basi wacha nitafute aLiye tayali kuolewa.

B) Tafuta mwanamke mwingine ambaye utaona anakufaa, pimeni afya mtie mimba hiyo ni tiketi ya kumuoa. huyo bidada muache aendelee kuwa ajuza ndio atajua kuwa alipoteza bahati.

habari ya kusema nampenda sana achana nayoo, kumpenda ndio mdudu ganii Arghhhaaa!!

plan B ndiyo nzuri
 
Nashukuru kwa kunitia Moyo
 
Back
Top Bottom