Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Kuchepuka sio vyema kabisa,tena na rafiki wa mwenza wako na sisi wanaume tulivyo wakorofi hapo si ajabu hapo jamaa akirudi home mwanamke atachezea kipigo.
Wakati na jamaa nae katoka chepuka,kachepuka,akasahau mkewe nae anaweza chepukwa pia.Tujaribu ridhika na kuviboresha tulivyonavyo ndani.
Wakati na jamaa nae katoka chepuka,kachepuka,akasahau mkewe nae anaweza chepukwa pia.Tujaribu ridhika na kuviboresha tulivyonavyo ndani.