wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Mapenzi ni matamu sana hasa ukampata yule akupendae kwa dhati, na kama ni KE mwenye kubembeleza kwa sauti ya upole, na asiwe anapaza sauti pasipo stahili, na kama ME awe mwenye kujua kutafutata na kumsikiliza mpenziwe hasa panapokuwa na uhitaji wakufanya hivyo kwa moyo mmoja.
Usiwe mnyonge kwa kua mpenzio ni maskini au hana kazi nzuri ya kufanya. Cha msingi hapo nikuendelea kumuombea Mungu. Na usimdai mpenzio vitu vingi visivyo na ulazima au vile ambavyo unajua kabisa hatakua na uwezo navyo.
Nachotakua kuweka sawa hapaa ni kuwa cha kabisa kumdharau mwenzi wako kwasababu zozote zile,
Na ukae ukiamini kua wewe leo hii unasema wa nini ila kuna mwingine pembeni yako anasema atampata lini.