Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Wakuu natumaini hamjambo.
Wiki mbili tatu nilivua mchepuko pale Empire club, Arusha.mashallah yuko vizuri maana alishadate ngozi nyeupe wakamwachia mtaji, anafanya biashara yake mjini.
Cha ajabu ni kwambai,kila tukikutana iwe ni kwake au out lazima nilizwe misimbazi kadhaa, kwa aibu ninatoa huku nikijiuliza kwanini.
Nampenda ila shida ni kwamba how can i make it vise versa? au hata asiwe akinipiga mizinga.
Nawasilisha.