Kwa nini waafrika wanajibadilisha rangi?

Kwa nini waafrika wanajibadilisha rangi?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
150121101415_afrika_urembo_512x288_bbc_nocredit.jpg

Mitindo ingekuwa na maendeleo kiasi gani bila uwepo utumwa na ukoloni?

Katika mfululizo wa Barua kutoka kwa waandishi wa habari wa Afrika, mwandishi na Mtunzi wa Riwaya,Tricia Nwaubani anaangazia mada ya kung'arisha ngozi
kwa kipindi cha miaka michache iliyopita, nilijenga tabia ya kuwauliza waafrika wenzangu kutoka Nchi tofauti

Wanafikiria Bara letu lingekuwaje kama wafanya biashara ya utumwa na Wakoloni wasingeingia Afrika.
Baadhi wanaona kuwa jamii za kiafrika zingekuwa na maendeleo, ikienda sambamba na maendeleo ya Dunia.

Wengine wanaona kuwa Afrika ilikuwa na maendeleo sawa na maendeleo ya Dunia nzima, lakini utumwa na ukoloni viliingilia kati na kukwamisha maendeleo,wengine wanaamini kuwa sisi waafrika tungeuana kwa mapigano ya kikabila na migogoro, bara lingekuwa na makundi machache ya kikabila yaliyo mbali mbali.

Ninapenda kufikiria kuwa sisi waafrika tungeweza kujisimamia kwa mambo mengi.Tungegundua umeme ,tungetengeneza viyoyozi na majokofu, tungejiuliza ni vitu gani vinaonekana kwenye bahari, kisha tukkatuma wanaume kwa wanawake kufanya uchunguzi.

150121101522_vipodozi_afrika_512x288_bbc_nocredit.jpg

Weupe unapewa maana zaidi miongoni mwa jamii ya Watu weusi wengi

Ingeweza kuchukua miongo mingi, hata karne, lakini jamii za kiafrika zingeweza kupata hadhi ya kuwa moja ya bara la ulimwengu wa kwanza,p
ia nafikiri kuwa, kwa kiasi fulani ,Mwafrika alipaswa kufikiria''nywele zangu zimejinyonga nyonga na zimependeza.

Lakini swali ni je zingekuwaje kama zingenyooshwa.
''ingekuwaje kama nywele zangu zingekuwa za bluua au nyeusi kama za gold?''Mwafrika wa namna hii angetengeneza Dawa za nywele na rangi ya nywele, ingawa haonekani na nywele ndefu.Kusingekuwa na kasumba ya kutaka kufanana na Watu weupe.

130102135546_south_africa_skin_bleaching_640x360_bbc_nocredit.jpg

Wanawake wengi barani Afrika wanajichubua ili kuwa na vuto zaidi

Waafrika wangeweza kuangalia uwezekano wa kubadili rangi za ngozi.
''baadhi yetu rangi zetu za ngozi ni nyeusi na nzuri,wengine ngozi ni angavu nao pia ni wazuri.je itakuwaje mwenye rangi nyeusi akataka awe mweupe na mweupe kuwa mweusi?''
'weusi ung'aao'

Wanawake wengi wa Nigeria ninaowafahamu wanaotumia vipodozi vya kung'arisha ngozi si kwamba ngozi zao za asili ni weusi na kuna wanawake wenye ngozi nyeupe lakini wanataka kuongezea zaidi ya rangi waliyonayo.Kumekuwa na kasumba kuwa kuwa na ngozi nyeupe kumeonekana kuwa kwa kipekee zaidi kwenye jamii ya watu wengi walio na ngozi nyeusi.

Chanzo:BBC
 
Waafrika tumekuwa watu wa "copy & paste"...almost kila kitu tunacopy tu..
 
Docter
MziziMkavu
Ifikie wakati wanaume tuunde mikakati sitahiki ili tuokoe kizazi cha kiafrika kinachoendelea kuteketea! maana yale madawa ninavyofahamu mimi yanaharibu hadi mfumo mzima wa uzazi pamoja na afya ya mama.

najua wanaume 92%tunachukinzwa na hili swala.

wanaume tuacheni kuwatongoza wala kuwasemesha wanamke waliobandili rangi

kama kujioa watajioa wao wenyewe? na kupiga puchu au maji ya moto ndani ya papuchi zao.
 
Last edited by a moderator:
ni fikra za kitumwa..ila sasa hivi kwa nchi kama marekani kuna campaign kubwa inaendelea ya kudefine uzuri(beauty) kwa mtu mweusi...kuna vitakubwa sana inaendelea against bleching na kuvaa fake hair


2Q==
2Q==
 
Huwa hawaelewi mie mwanamke akishajikoroga tu namuweka garade ya Mwisho kabisa....hafai Kwa matumizi ya moja Kwa moja ni just temporary..
 
Waaazunguuu ni weetuu,
Wwazuuungu ni wetuuuu, wametuuletea shaaanga za kuvaaa shiiingoni,
kule kwetuuu chachaanduuu na magooome ya miiiti.
waaazunguuuu ni weeetuuu
...........................
 
Wanafanya hivyo ili waolewe na wasukuma kwa kuwa wasukuma wanapenda wanawake weupe
 
kutojielewa thamani yake anaejibadili asee black is beautiful najivunia kua black
 
Wahusika ujumbe umewafikia sasa tunasubiri watuambie kwanini wabadili asili mbona sisi wanaume hatufanyi hivyo?
 
Back
Top Bottom