Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Rafiki yangu alikwenda Uingereza miaka ya 90 baada ya kumaliza VI, matokeo hayakua mazuri sana kwahiyo akaamua kuangalia maisha upande wa pili. Akiwa London, alikutana na kijana Mtanzania lakini...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Jamani marafiki maswali mengine yanakera.Mtu anakuuliza do you love Sex na hali anajua dhahiri hakuna asiye chukiaa sote tunapenda. Nyie wanawake acheni kuuliza maswali ya kipumbavu na ya...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Heri ya Pasaka, Poleni kwa mfungo na vurugu za Watunga Katiba, Mpwa wenu leo nimeona ni vyema ku-share na nyie hii kitu, hasa hasa kwa vijana wangu wale wenye kupendelea "Maharage" makavu kuwa...
7 Reactions
105 Replies
11K Views
Kuna jambo linanitatiza. Japo hata mimi sipendi kuishi maisha yangu katika namna alivyoishi baba yake na baba yangu Lakini kuna masuala ambayo nayaangalia katika mtazamo chanya hata kama ni ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni sahih kwa mwanamke kumganda m/me aliezaa nae hata kama hataki kumuoa?Je sio kupoteza muda na umri unaenda?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Jamii Forums. Ukifuatilia kwa undani wanawake wametengwa katika magrup mengi lakini magrupu haya mawili sura ya mbuzi na sura ya paka ndiyo wengi tulionao maana ni wazuri sana kwa...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Nimeona niyalete hapa kwa sababu hutumika sana jukwaa hili ingawa nafahamu ilikuwa ni peleke jukwaa la lugha. Swali;tofauti na tunavyoyatumia hapa, nini maana halisi ya neno gegedo, dushe na...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Mwanamke mwenye makalio makubwa Ni swala la kushangaza kwamba shindano la kumtafuta mwanamke mwenye makalio makubwa mjini New York Marekani litatumiwa kama kigezo cha upasuaji wa mapambo ,huku...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
1.Hamnunui viwanja. 2.Hamjengi. 3.Magari mnahongwa. 4.Voucher mnahongwa. 5.Nguo mnapelekwa shopping. 6.Outing mnatolewa. 7.Nguo mnanunuliwa. 8.Kodi za mnalipiwa. 9.Simu mnanunuliwa...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Katika hali isiyotarajiwa, vimwana wa kizungu wamekuwa wakimiminika kwenye kambi za vijana wa ISIS ama kufuata elimu ya dini, kuchukia dhulma au kutafuta waume na wapenzi. Serikali na familia zao...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari. Nimekuja hapa ili tuwekane sawa jambo hili, tuangalie changamoto za umri, uzazi kila mtu anapenda aone watoto wake anawalea vizuri, wanapata huduma zote, malezi bora n.k. Lakini ni ukweli...
6 Reactions
45 Replies
7K Views
Mimi naishi Dodoma ,ni mfanyakazi wa Taasisi moja wapo ya Bunge la Tanzania ,sijaoa , ila niko na maisha ya kuridhisha sana nina gari mbili yangu na yake napenda kumwambia hivyo mchumba mwenye...
0 Reactions
77 Replies
19K Views
Kuna jambo linanitatiza. Japo hata mimi sipendi kuishi maisha yangu katika namna alivyoishi baba yake na baba yangu Lakini kuna masuala ambayo nayaangalia ktk mtazamo chanya hata kama ni ya...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Habari zenu wanajamii forum. Leo ninakuja na chemsha bongo kidogo kwa kuwa nimeona imekaa kimapenzi,sio mbaya nikaileta hapa Mpo kwenye VITZ au SPACIO yako wewe mwanaume,mke wako na mama mkwe...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Za siku wanajukwaa, poleni kwa majukumu. Leo nakuja na hoja hii, kwa waliohudhuria semina za ndoa makanisani/msikitini na hata kwenye kitchen part na hata beg part, mtakuwa mmekutana na...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Kilichonikuta leo sina hamu ya kupanga nyumba ambayo wapangaji wake ni wanawake tu. Nyumba niliyopanga mwanaume nipo peke yangu kati ya wapangaji saba , wengine ni wanawake ambao hawajaolewa ila...
16 Reactions
105 Replies
18K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Juzi nilipigiwa simu na shosti wangu, MRS wa ukwee, mwanamke anaejitambua. Like i expected simu kama zile...
16 Reactions
66 Replies
7K Views
Watalamu wa mambo ya mahusiano, wanaamini Love at first sight haina cha kuangalia umbile au physical appearance, hainaga cha kuangalia pesa au kipato. Hainaga cha kuangalia tabia. Love at first...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Nimeshangaa sana hili tukio,kuna jamaa amegombana na mke wake hapa mtaani,wamefunga ndoa miezi minne iliyopita. Jamaa amekuta mkewe akichat na mpenzi wake wa zamani,akachukua simu na kusoma hizo...
2 Reactions
90 Replies
8K Views
Habari zenu ndugu na dada wa nyumba hii. Mojawapo ya changamoto inayoikabili dunia ya sasa ni suala la kupotea kwa uaminifu kwa wapenzi na wanandoa.nini tatizo njooni tutoe hoja zenye nguvu...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…