UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,019
Kuna madhara gani ambayo anayoweza kumbana nayo mwanaume kumwacha mke mwenye watoto anayoweza kuyapata kiuchumi na kijamii inshort madhara kwa ujumla kisaikologia nk.
Natamani kukuacha leo hii...!kiuchumi nakupeleka ustawi tunakata mshahara juu kwa juu ... kingne kutesa watoto, kingine kuwa na matumizi yasiyoyalazima kama kuhonga wapenzi
Kuna madhara gani ambayo anayoweza kumbana nayo mwanaume kumwacha mke mwenye watoto anayoweza kuyapata kiuchumi na kijamii inshort madhara kwa ujumla.
Dhara kubwa la kuacha mke (yeyote hata asie na mtoto) Ni kukosa guarantee mbunye kitendo kitakachokufanya udise hovyo hovyo na possibility kubwa ya kudondokea pua.
mbunye ni nini???
mbunye ni nini???
Natamani kukuacha leo hii...!
mbunye ni nini???
Hahahahahaaaaaa!Mbunye =kikojoleo cha mwanamke.
Hahahahahaaaaaa!
Senkyu Billie.
Miss you more
Hivi bado kuna wanaume wanaotelekeza familia zao??
Kuna madhara gani ambayo anayoweza kumbana nayo mwanaume kumwacha mke mwenye watoto anayoweza kuyapata kiuchumi na kijamii inshort madhara kwa ujumla.
Hata mimi nimekumisi. Umzima lakini?