Zijue siri za mwanamme wa kweli

Zijue siri za mwanamme wa kweli

Kotmiri

Senior Member
Joined
Jan 28, 2015
Posts
119
Reaction score
54
Mwanaume wa ukweli anatafuta mwanamkeambaye anaamini kwamba kwake atakuwa boramaisha yake yote. Mwanaume wa ukwelianapomfuata mwanamke ambaye anaamini kwamba atakuja kuwa mke wake, basi kuna vitumuhimu huwa anavifanya.

Hawezi kumchukua mwanamke wake nakumpeleka katika kumbi za usiku. Ukiona mwanaume anakufuata na kukwambia leo twende klabu fulani, jua kwamba wewe ni demu kama mademu wengine, wewe si yule ambaye ataamua
kukuweka ndani na uje kuilea familia yake.

Mwanaume wa ukweli hawezi kumwambia msichana ambaye anaamini kwamba atakuja kuwamke wake eti wanywe pombe weee mpaka wawe tilatila, mwanaume humuepushia mke wake mtarajiwa vitu vyote vibaya, ila kwa demu wake,mbona poa tu kama kawa wanakamua kwa kuamini kwamba hata ukiendelea kunywa pombe,hana habari kwani hautokuja kuwa mke wake.

Si wanasemaga mwanaume wa kweli hutumia dume? Hebu waulize na hao wenzio walikua wanamaanisha nini
 
Sasa usiende club na mwanamke umpendae uende na nani tena? I remember in those old days, nilikuwa nakereka na woman I completely loved only because hakuwa mtu wa kutoka! I felt so empty going somewhere (club) without her and I believe, even when I get married, hii culture kwangu itakuwa tamu zaidi when my wife nae akiwa mtu asiye na tatizo kutoka otherwise, nae atanikera.
 
Mkuu kila jambo na wakati wake, nenda club sana na huyo mtu unayempenda lakini ukiingia kwenye ndoa kuna vitu inabidi uache na clubbing ni kitu kimojawapo kwa sababu hakitatoa picha nzuri kwa watoto wenu.
 
Wenzako siku hizi hawataki huo ukweli; una hela?!
 
Sasa usiende club na mwanamke umpendae uende na nani tena? I remember in those old days, nilikuwa nakereka na woman I completely loved only because hakuwa mtu wa kutoka! I felt so empty going somewhere (club) without her and I believe, even when I get married, hii culture kwangu itakuwa tamu zaidi when my wife nae akiwa mtu asiye na tatizo kutoka otherwise, nae atanikera.

Sijui nianzie wapi ila iko hivi mke wangu sio mtokaji kabisaa ila hanizuii tangu tukiwa chuo na ukimlazimisha ukatoka naye anakaa tu hata mziki hachezi, tukienda Ngwasuma by then yeye alicheza wimbo wa Anna tu baaas!!!

Ila ndiye mama haswa wa wanangu na am sure hawatokuja kunilaumu kuwachagulia mama huyu, leo nikimwambia "ntatoka baadae mke wangu". . . . .ntapigwa maswali weeee ila nguo ntanyooshewa kabisa na nitasimamiwa nile ndio nikazurure. . . . . . .

Kuna kipindi uhalisia unazidi desire na wishes. . . . . . Karibu klabuni kaka
 
ulipoanzia ndipo hapo hapo na pameeleweka... ur wife hapendi kutoka lakini hakuzii kutoka~anyway, kwangu hakuwa wife bali girlfriend so may be hakuwa na ubavu wa kunizuia na nilikuwa natoka but I would feel completely empty coz' ningependelea kuwa na yeye wakati yeye si mtu wa hizo issue! Kwa issue za wife wako, it's okay... kwanza sie wengine tunavyosema kutoka wala hatuna maana lazima tukacheze muziki but just being away from home... that's it... kama ambavyo unapoamua kulipa kwenda cinema wakati u can download the same movie and watch it with your chogo tv! So, kwa issue ya shemeji etu hapo... i like it, si mtu wa kutoka but she can do it for you!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu kila jambo na wakati wake, nenda club sana na huyo mtu unayempenda lakini ukiingia kwenye ndoa kuna vitu inabidi uache na clubbing ni kitu kimojawapo kwa sababu hakitatoa picha nzuri kwa watoto wenu.
Can I tell you something? In some cases you're right... first I used the neno club... ofcoz, kuna wakati haya mambo mtu unatakiwa kuwaachia watu wenye age yao lakini linapokuja suala la outings/kutoka as a whole, hata ninapokuwa na wife I'll love outing lakini sio zile za kibachela... hapa nazungumzia outing za kuwa away from home, eh bhana, at least once a month! Haiwezekani kila saa 2 hadi saa 5 ucku ya kila siku, throughout 365 days zote zinawakuta mkiwa ndani kwenu hadi masufuria yanatoboka upesi kwa kuyapikia kila siku!
 
Hmmmmm! Sasa Kotmiri hizo sehemu za kujirusha kama huendi na yule umpendaye uende nani tena? Uzuke mwenyewe upate vishawishi? Mie sioni tatizo la wapendanao hata kama wameahidiana kufunga pingu za maisha kuzuka sehemu za starehe/kujirusha kwa raha zao na kula kilaji chochote kila wakipendacho ali mradi hawapitilizi na kuanza kufanya mambo ya ajabu/aibu.

Last edited by a moderator:
ulipoanzia ndipo hapo hapo na pameeleweka... ur wife hapendi kutoka lakini hakuzii kutoka~anyway, kwangu hakuwa wife bali girlfriend so may be hakuwa na ubavu wa kunizuia na nilikuwa natoka but I would feel completely empty coz' ningependelea kuwa na yeye wakati yeye si mtu wa hizo issue! Kwa issue za wife wako, it's okay... kwanza sie wengine tunavyosema kutoka wala hatuna maana lazima tukacheze muziki but just being away from home... that's it... kama ambavyo unapoamua kulipa kwenda cinema wakati u can download the same movie and watch it with your chogo tv! So, kwa issue ya shemeji etu hapo... i like it, si mtu wa kutoka but she can do it for you!

Ok all the best kaka ukipata wa kuendana naye safi iyakiwa ila pia ukipata mpenzi wako asiyependa hang outs ila unamuona mama bora wa wanao, mshauri na vigezo vingi akawa navyo basi mitoko ipotezee tu for the sake of " the good family".
 
Back
Top Bottom