Lamchina
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 240
- 120
Najua watu wetu tumebobea kwenye haka kamchezo kitamu sana ndani ya sekunde moja, lakini kwa upande mwingine yaweza kukugharimu maisha yako yote.Ukijaribu kuangalia kwa undani mahusiano kati ya wapenzi jinsi yanavyoanza, mwanzoni hakuna kuaminiana.
Wakikutana kule wataanza pre match exercise jamaa akishusha trouser utasikia Bibie akisema vaa condom honey please. Mambo yataendelea kama mara tatu wakutanapo.
Lakini sasa ikija round ya nne kama mwanaume hamjali mwenzio hakuna hata anayemkumbusha mwengine suala la condom wataaanza kusifiana mpaka kitu kinazama kiulaini. Wakiwa half time utasikia baby mbona leo hujavaa jamani litajibu yaaani muda wote hatuaminiani nilizidiwa.
Aisee sorry,naona sasa tukapime.Hiii ni tafiti ndogo kwenye suala la michepuko. Kuna wengine mkikukuta siku ya kwanza hata hakuulizi swala la kinga ukimuuliza atakuambia utajua mwenyewe au mmmhh sijui honey hii inamaanisha nini.Nahisi jibu unalalo.Sijui hebu tushirikishane uzoefu na kwa jinsi unavyoona mambo yanavyokwenda kwenye jamiiii.
Angalizo:Mada hii inakukumbusha kuwa AIDS/HIV ipo sana na inaua tena michepuko inachangia umasikini na mikosi ndani ya ndoa,Stay tuned!
Nani mwenye maamuzi ya kuvaa condom ni mwanaume au mwanamke.