Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Nilivyokua bado nimezubaa Aisha alipita tena, mara hii alikua na kanga moja tuu tena iliyolowanishwa makusudi. Aibu ikaanza kuniingia pale pale huku moyoni nikawa najiuliza.
Kwa hofu kubwa je,mme wake angerudi muda ule na kukuta yale mazingira hata kama sijafanya kitu lazima angehisi tuu kuna kitu kinaendelea.
"Flani huku akitaja jina langi sio hili ninalolitumia hapa njoo basi unikune" aliongea Aisha huku akiwa ameinamia kwenye kabati kama kuna kitu anatafuta, nlivyokua namwangalia nilianza kusisimka, nikamwambia "Mbona mlango uko wazi."
Aliondoka pale kabatini kwa haraka kuelekea kufunga mlango, alivyorudi sasa hakurudi alipokua alinifata kwenye sofa akaninyang'anya rimoti akaitupa chini na ile kanga aliyokua ameivaa akaitupilia mbali.
Ghafla mlango.