Nipo tayari kumsimamia dada kwenye harusi ila anakataa

Nipo tayari kumsimamia dada kwenye harusi ila anakataa

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,339
Habari za jioni wadau.

My twin sister anaolewa kesho,nimepewa assigment moja ya kunwingiza Church Azania Front mchana na then kumkabidhi kwa mumewe, tupo wawili tu kama kaka ni jukumu langu hilo siwezi likwepa sasa kilichonikera ni nyumbani kuanza kelele eti leo na kesho nisinywe bia hata moja maana nina jukumu kubwa kesho.

Eti bia zinaleta mkosi kwenye siku yake na hapo home wanajua mi mnywaji siku zote na wala sio mlevi ila ni mnywaji tu
Send off. Jana nilikuwa nimelewa but show ilisimama vizuri sana kila jukumu langu halikukwama sasa inakuaje nisifurahi na kinywaji kuanzia leo kufurahia siku kubwa ya kuagana na my lovely twin sister ambayo ni kesho,huu ni zaidi ya utoto wanauleta hapa nyumbani.

Hii ni haki kweli jana tu kaka mkubwa nimemshinda hadi mashemeji, ndugu, jamaa na marafiki wakakubali kaka jembe sasa leo why wanizuiena bibi harusi anacheka cheka tu badala ya kutoa mawazo sahihi maana nimepanga bia nizinywe nyumbani tu nisiende hata bar.
 
habari za jion wadau.

my twin sister anaolewa kesho.

nimepewa assigment moja ya kunwingiza church Azania front mchana.

na then kumkabidhi kwa mumewe.. as tupo wawilo tu kama kaka ni jukumu langu hilo siwezi likwepa.

sasa kilichonikera.

ni home kuanza kelele eti leo na kesho nisinywe bia hata moja. maana nina jukumu kubwa kwesho..

eti bia zinaleta mkosi kwenye siku yake..

na hapo home wanajua mi mnywaji siku zote na wala sio mlevi.. ila ni mnywaji tu..

send off jana nilikuwa bwax but show ilisimama vizuri sana kila jukumu langu halikukwama..

sasa inakuaje nisifurah na kinywaji kuanzia leo kufurahia siku kubwa ya kuagana na my lovely twin sister ambayo ni kesho..

huu ni zaidi ya utoto wanauleta hapa home..

hii ni haki kweli.. jana tu kaka mkubwa nimekimbiza mbaya hadi mashemeji, ndugu, jamaa na marafiki wakakubali kaka jembe.. sasa leo why wanizuie

na bibi harusi anacheka cheka tu badala ya kutoa mawazo sahihi.. maana nimepanga bia nizinywe home tu nisiende hata bar..

piga mizinga miwili ya kutoa aibu na kuchangamsha mwilii
 
Kinacho nishangaza ni wewe kusimulia hili jambo kwenye jukwaa! Hivi unafikiri tutakusaidia nini?
Thread yako imejaa utoto!

tatizo mnakuja kwenye jukwaa na ma stress ya maisha..

hii ni sehem ya burudani.. kama kijiwe kingine chochote, tunashauriana, tunapiga story, na kufurahi pamoja..

sasa kama nahitaji ushauri nijijue kama nifanyeje nisilete humu.. kukuogopa wewe..

ukiona haikuhusu unapita kimya kimya... usilete itikadi zi kibabu kijiwe kilichochanganyika rika tofauti
 
''hapo home wanajua mi mnywaji siku zote na wala sio mlevi''

''send off jana nilikuwa bwax''

Contrast?!!
 
Kesho nitakuja Azania Front nilinganishe uwasilishaji wako na wewe mwenyewe.
 
Hii thread inathibirisha dada yako yuko right

ungekuwa na uelewa wala usingemshangaa dada yako ....

the fact kwamba hadi amekwambia ni dhahiri wewe pombe inakupelesha
na unaweza kweli kumletea mwenzio mkosi siku yake ya harusi...

ningekuwa mimi ndo wewe ninge feel sad kwamba dada yangu anahofia kumletea mikoso siku yake ya furaha kuliko
zote.......ningejituliza ....unaweza kunywa after kanisani
ukanywa hadi ukaogelea......
 
tatizo mnakuja kwenye jukwaa na ma stress ya maisha..

hii ni sehem ya burudani.. kama kijiwe kingine chochote, tunashauriana, tunapiga story, na kufurahi pamoja..

sasa kama nahitaji ushauri nijijue kama nifanyeje nisilete humu.. kukuogopa wewe..

ukiona haikuhusu unapita kimya kimya... usilete itikadi zi kibabu kijiwe kilichochanganyika rika tofauti

I concur. Huu ukiranja watu wanaojipachika sijui nani kawapa. Uwa nisipopendezwa na thread uwa naipita fasta.
 
Hahaha...

Najaribu kuyakomveti haya matamshi yako yawe yanatoka kwenye kinywa cha mtu aliyeshtua kidogo mbili tatu...
 
tatizo mnakuja kwenye jukwaa na ma stress ya maisha..

hii ni sehem ya burudani.. kama kijiwe kingine chochote, tunashauriana, tunapiga story, na kufurahi pamoja..

sasa kama nahitaji ushauri nijijue kama nifanyeje nisilete humu.. kukuogopa wewe..

ukiona haikuhusu unapita kimya kimya... usilete itikadi zi kibabu kijiwe kilichochanganyika rika tofauti

Ni wapi umeomba ushauri? bado na kushangaa kusimulia haya maana maandishi yako yanaonesha wazi dada na nduguzo wanaongea anaongea ukweli mtupu jaribu kusoma ulicho kiandika!

Dada na ndugu zako wanakufahamu vizuri kuwa pombe huziwezi kabisa ndio maana wana hofu utaleta mkosi kama ukinywa! Unajua tatizo ni kwamba kila mnywa pombe anajiona pombe ana ziweza!


Nduguzo wanakufahamu vyema na wanajua utawadhalilisha na kuleta mkosi ndio maana wamekushauri hivyo ..ni vyema kwa kuwa harusi si yako kuliko kuiharibu ni bora ukawasikiliza na ukapumzika mpaka harusi imalizike usije kuleta mkosi!


Hao wanao kuita jembe wanakudanganya maana wanajua dawa ya mlevi chakali ni kumsifu!

Ni vyema ukasikiliza ushauri wa nduguzo kuliko kuja kujuta wakati umeharibu!Subiri harusi yako ndio ulewe utakavyo.

Samahani lakini.
 
Back
Top Bottom