Ni kweli ARVs zinaongeza hamu ya kujamiiana?

Ni kweli ARVs zinaongeza hamu ya kujamiiana?

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,052
Habari wanajamvi.

Hivi kuna ukweli wowote kuwa ARVs zinaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa na kama ni kweli kwanii. Naommbeni kwa wanaojua zaidi watujuze.

If yes how.
 
sasa kuna za aina mbili
ARV=ANTI RABIES VACCINE
ARV=ANTI RETRO VACCINE
Which one among the 2?
 
Hapana hapo hukuna ukweli wowote.
Medically, anti rabies vaccine has got no relation to the genitals you can also review this on Google. Check for pathophysiology of the anti rabies vaccine.
I've been at the CTC clinics and I have never encountered any complication or claim about this so please I can only tell you not to get deceived
 
niliwahi sikia so nikasaka watumiaji wa hizo dawa

nilibahatika kupata watano wote wakiwa wanaume
wakasema YES inawapa hamu ya kufanya hivyo
 
Nadhani ni kutokana na wengi kunyanyapaliwa na mwenza kama yeye yuko negative so anakuwa apati mara kwa mara na pia kama no parmanent partner na mtumiaji ana roho ya utu atakuwa aji ingage katika sexual intercourse.nawaza hivyo.
 
Mbona ule uzi wako umefutwa umekuja kuanzisha na huu watafuta
 
kawaulize wanaotumia hizo dawa
 
Nadhani ni kutokana na wengi kunyanyapaliwa na mwenza kama yeye yuko negative so anakuwa apati mara kwa mara na pia kama no parmanent partner na mtumiaji ana roho ya utu atakuwa aji ingage katika sexual intercourse.nawaza hivyo.

nadhani hujalielewa swali langu

ni kwann ARVs ZINAONGEZA HAMU YA KUJAMIIANA?
 
Hapana hapo hukuna ukweli wowote.
Medically, anti rabies vaccine has got no relation to the genitals you can also review this on Google. Check for pathophysiology of the anti rabies vaccine.
I've been at the CTC clinics and I have never encountered any complication or claim about this so please I can only tell you not to get deceived

kwahyo mkuu unao????
 
ngoja waje watumiaji wa hizo dawa, mimi niulize kuhusu biere na biblia.
 
Back
Top Bottom