Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Habari waungwana.
Mada hii nimeianzisha based on a program called "friand lovers".Inahusiana na marafiki waloshibana kwa muda mrefu ambao kwa njia moja au nyingine walijuana kwa kujaribu kudate mwanzoni lakini baadala ya kuwa wapenzi wakaishia kuwa marafiki.
Baadhi yao wanahisia na marafiki hapa nimebase kwa upande moja si wote kwa pamoja yaani moja ana hisia na mwengine anamchukulia mwenzie kirafiki.
Tujadili waungwana.
Wasalaam gorgeousmimi

- Je inawezekana marafiki waloshibana kuwa wapenzi?Mfano walokuwa na urafiki wa miaka 5 na kuendelea na hapa naongelea watu wa jinsia mbili tofauti mwanamke na mwanaume.
- Na je wakijaribu kuwa wapenzi wanaweza kuondoka kwenye "friends zone"
- Hakutokuwa na msawajiko/mtafaruku kati ya urafiki na mapenzi?
- Je kushibana kwao hakutoleta hitilafu katika mahusiano yao?hapa nimeegemea wataacha kuwa marafiki kama awali ambapo walikuwa na uwazi wa kujadiliana mambo tofauti mfano kuhusu mikwaruzano na wenzi wao n.k
- Kushibana kwao kunaweza kuwasaidia kuvumiliana na kuhimili kasoro zao?
- Wanaweza kuendelea kuwa wapenzi na marafiki kama awali?
Tujadili waungwana.
Wasalaam gorgeousmimi