Is it true?.... Please enlighten me! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it true?.... Please enlighten me!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Sep 30, 2008.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Sep 30, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hellow fellows JF members

  I just want to verify this saying: Eti is it true that marriage starts after five (5) years after marrying one another?............. Eti they say wanandoa katika miaka mitano ya kwanza huwa wanagombana sana na msipokuwa wavumilivu ndoa nyingi huvunjika within hii miaka mi 5 ya kwanza. Ikishapita ah mambo yanakuwa sawia je ni kweli?
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  labda miaka 7 -kila baada ya miaka 7 kuna the itch!
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sijui wengine watakua na mawazo gani lakini mi tulianza kugombana na mke wangu baada ya miaka 12.
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Sep 30, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Womanofsubstance.. I salute you my sister.

  So its seven and not five duh..... I have a long way then.
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Sep 30, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  lagatege..... how did you guys managed? yangu its sucking maana mh
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Just hang in there!
   
 7. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ....There is no guarantee guys...inategemea na nyinyi wanandoa wenyewe mbona kuna rafiki zangu wawili ndoa zao zilivunjika ndani ya miaka 2 tu? Mimi mpaka sasa ni 8 years nasonga mbele licha ya ups and downs za hapa na pale ambazo ni jambo la kawaida kabisa.

  So people haya mambo yasiwaumize kichwa sana kama umeamua kuoa au kuolewa basi you have to accept that na ubadilike accordingly. Kitu kikubwa nilichogundua ambacho huchangia ndoa kuyumba wengi wa wanandoa kutokuwa tayari kukubali kuwa ukishaoa au kuolewa unatakiwa kusahau kabisa your past. Kama ulikuwa na girl friend (s) au boy friend (s) kwa kweli bila kuwatema hao kuna uwezekano mkubwa wakakuyumbisha katika ndoa yako. Uzoefu unaonyesha kuwa jamaa akigundua umeoa au kuolewa kuna tendency ya kukumbukia zama zile kuwa mlipendana na kuzoeana so na mawasiliano yanaendelea mwisho mwenza anagundua songombingo linaanzia hapo.

  Kwa mtazamo wangu hakuna jambo linaloleta shida katika ndoa kama mke au mume akigundua mwenza anamsaliti. Matatizo mengine yote kama matumizi ya pesa sijui, vitu gani ni mambo yanayoweza kuzungumzika na mtu aka-reform.

  So people if you are planning for marriage habari ndio hiyo!!!!!
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Anasoma nje ya nchi kwa sasa nategemea akirudi labda tuanze ukurasa mpya.
   
 9. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  hata mkifumaniana,just turn a blind eye,hata mkipigana give him/her the other cheek to slap this ndoa will last an eternity.
   
 10. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Son of alaska can you dare to do that???
   
 11. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mhh jamani ndoa ngumu lakini watu wanaenda tu.....sipati picha nikiona....mwenza anaendelea na mambo zamani na boy/f wake...kwani anapo amua kuoana nawe basi kaachana na mengine yote...
   
 12. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nafikiri hapa itabidi ufigure out ya kwako unataka iwe vipi kwa sababu ukweli ni kuwa hakuna direction au manuscript katika ndoa ni jinsi ninyi wenye hiyo ndoa mtakavyoona manataka iwe, kama shari yawezekana na kama amani yawezekana pia! si rahisi ku-copy ndoa ya mtu ikawa ya kwako watu tuko tofauti.
   
 13. Tonga

  Tonga Senior Member

  #13
  Sep 30, 2008
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndoa hazina formula kama alivyosema gm, just marry the love of your life and make sure is only love brings you together and live from there. Mikwaruzano ipo na sidhani kama ina muda halisi wa kutokea ila ni sehemu ya kuwa pamoja na kama mnapendna kweli mtashinda. Ila inaonyesha kuwa ndoa za siku hizi zina mikwaruzano sana nashangaa wazazi wetu waliwezaje kuishi miaka yote hii pamoja, i trully admire them!
   
 14. miss chagga

  miss chagga JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2015
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 57,678
  Likes Received: 30,819
  Trophy Points: 280
  ndoa kazi kweli kweli
   
 15. Eli79

  Eli79 JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2015
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 18,763
  Likes Received: 10,604
  Trophy Points: 280

  Kwani upo kwenye ndoa tayari?
   
 16. miss chagga

  miss chagga JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2015
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 57,678
  Likes Received: 30,819
  Trophy Points: 280
  si ninasoma 2008 kumbe watu walikuwa na misukosuko
   
 17. DuppyConqueror

  DuppyConqueror JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2015
  Joined: Mar 30, 2014
  Messages: 9,060
  Likes Received: 4,181
  Trophy Points: 280
  Misukosuko ya ndoa duniani iliisha decade/ miaka kumi ya kwanza ya 2000s...so after 2010, ndoa zimekuwa raha sana
   
 18. miss chagga

  miss chagga JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2015
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 57,678
  Likes Received: 30,819
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha nafanya investigation pole pole humu humu ndani nitakuita
   
 19. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2015
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,133
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  Possibly, ingawa si wote wanaopitia changamoto hii!! Na halii hii inatokana na ukweli kwamba kila mtu anajua keshampata mwenzio so anaishi maisha yake ya kiasili I mean kama ni mlevi basi atakunywa sana!! Kama ni malaya basi ndo utamuona vizuri si keshakupata bana!!

  Mmoja akiwa si mvumilivu basi atasepa na ndo mwisho wa ndoa!!

  Inayodumu ni ile ambayo mmekubali kufanana, una tabia inayomkera mwenzio unaiacha sababu yake!! Hasa ikizingatiwa kuwa kila mmoja kazaliwa, kulelewa na kuishi kivyake mmekutana ukubwani na kupendana
   
 20. Eli79

  Eli79 JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2015
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 18,763
  Likes Received: 10,604
  Trophy Points: 280

  Aah kumbe, afu unaonekana kuogopa misukosuko ya ndoa weye!!
   
Loading...