innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 753
Habarini wana ndugu.
Kuna mdada nilimtongoza kama mwezi mzima hivi juzi kati hivi kanipa majibu ya kuwa kanikubalia sasa alikuwa na boyfriend wake waliacha miezi sita.
Cha ajabu juzi huyo boyfriend wake kaja hadi geto kwa huyu mpenzi wangu nakuanza kumletea fujo na kumwambia kuwa bado ana mwitaji ila msichana akamwambia hamtaki tena sababu amechoka manyanyaso yake mara kumpiga, kumvunjia vitu vyake vya ndani.
Hivyo jamaa akamnyang'anya mschana simu yako nakuanza kupekua ndipo alipo kutana na sms zangu kwenye whatssap na za kawaida mshikaji kachukua namba yangu bila mpenzi wangu kujuasasa leo jamaa kampigia mpenzi wangu kwa namba nyingine nakumpa mwanamke ajifanye ni mpenzi wangu.
Hakika kamtukana mpenzi wangu mpaka mpenzi wangu kaumwa na kichwa sisi nikawa nachati na mpenzi wangu yeye akiwa job nashanga ajibu message na simu hapokei,nimekaa mida hii jamaa kanipigia simu kanieleza hayo yote kuwa yeye ndio kafanya ilii aniachanishe na huyu mpenzi wangu,najaribu kumweleza mpenzi wangu hata anielewi kuwa jamaa yake wa zamani ndio kafanya huo uhuni mpenzi wangu hataki kunielewa.
Nifanyaje ushauri jamani.