Sikununu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 341
- 101
Yani sijui nianzie wapi huyu mwanamke ameshanichosha mwanamke usafi hawezi.kugegedana ndio hajui kabisaa yani nikimwambia kitu kutwa anaguna tu.
Yaani chakula hata hajui apike nini,pesa namuachia nzuri tu,ila kila nikirudi nakuta dagaa wa mwanza tu.na icho chakula chenyewe anapika chukuchuku,mi nmemshindwa mwezi wa 3 tarehe 10 mi namrudisha kwao.
Natoa taarifa.