Kuelekea Valentine's day 14th Feb 2015

Kuelekea Valentine's day 14th Feb 2015

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,596
Salamu kwenu wa MMU.Nimewamiss naamini kuwa wote mko pouwa.

Kuelekea kwenye sikukuu ile ya valentine yaani siku ya wapendanao napenda kuwambia kuwa ninawapenda sana. Pili kuwakumbusha kuwa na upendo wa wale muwapendao.

Ninawaomba mtumie muda wenu wa kujiandaa na kuvalentika na wapenzi wenu kwa maana halisi kwa kutafakari yafuatayo:

1.Je unampenda kwa dhati huyo uliye naye.
2.Kama ni ndio, maneno na vitendo vyako vinadhihirisha penzi lako kwake.
3.Je yeye kama yeye na matendo yake anastahili penzi na pendo lako.

Usijekuwa mmoja wao wa wale wanaosherehekea Valentine's day kimapokeo na kimazoea.

Happy Valentine's day to you all.
 
Valentines day nitakuwa bar.. Na barmaid wangu Halima

Hahshah haya bwana enjoy maana hata barmaid pia ni mwanadamu yunastahili kupenda na kupendwa.
Happy Valentine's day kwako na wifi yetu....
 
Mimi najipenda mwenyewe!!!!
Ni siku yangu ya kujipenda na kuonesha kwamba najipeeenda

Happy VALENTINE TO MY SELF
 
asante kwa tafakari nzuri, tutoke katika mawazo ya kuvuliana pichu tu siku ya jmoc
 
Mhhh??maswali yako yamenifanya moyo utetemeke
Honey Faith usitetemeke my dear ni muda muafaka wa kutengeneza na kurekebisha panapowezekana kurekebisha..... kama anastahili dont take that person for granted..... kuwa yupo, alishasema ananipenda, ananipenda basi lazima anipende.... hata kama wamuudhi? Khaa haya mapenzi yana kikomo hata kama ni mwenzi wa ndoa kama kuna kero na anaivumilia jua iko siku atachoka na kuamua kukusaliti. So jichunguze k8sha jirekebishe.

Lakini pia kama ni mwenzangu na mie.... wambeba asobebeka na mbeleko yachanika. Moja haikài, mbili haihesabiki unapenda usipopendeka.... jiulize upendo wako KWAKO uko wapi. Valentine is about LOVE..... loving yourself and those who love you back.... wazungu wanasema charity begins at home....
 
Last edited by a moderator:
10606504_1542003159411343_2169503645573738959_n.jpg
 
Asante kwa ufafanuzi huo;
Sie huko shamba wakati mwingine tunapitwa na mambo mengine.
Hahaha Da Mamndenyi..... khaa wala sio mapumziko so usijet ukaweka rato yako chini..... mndenyi kama kawa mama ila tu unaiboost na kilauri ya mbeghe siku hiyo badala ya maji.
 
Back
Top Bottom