Imekaaa vibaya: Wapenzi kulipiziana visasi

Imekaaa vibaya: Wapenzi kulipiziana visasi

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Yeah kinachonisukuma kuandika ni hii hali ya wapenzi kulipiza kwa kila jambo wakati mwingine bila kutafakari kwa kina. Kwamfano kama mwanamume amechelewa kurudi mdada nae anajichelewesha alimradi tu ame equalize.Mkaka akiwa amepigiwa simu na mwanamke wa kazini basi mdada atawachokonoa wafanyakazi wenzie alimradi nae asikike akiongea na mfanyakazi wa kiume wa kazini kwake au mwanachuo mwenzake. Mbaba akatumia hela vibaya maybe kwa pombe mdada nae ataenda knunua madude dude ya kulakula na majuisi hata asiyoitaji alimradi kalipisha. Ukimtumia ndugu yako zawadi au fedha atataka nae afanye wakati huohuo.Hili jambo ni la kisaikolojoia , kiuchumi au utamaduni au ni nini hasa yaani kama kidali po
 
Labda hao wa kwenu. Mi wa kwangu hawezi kabisa hata kujaribu kulipa kisasi. Nyie ndo mnawapa hiyo nafasi. Wazungu wanasema life is how you make it. Mimi nasepa Wife is how you maker her.
 
Napenda xana kurushana roho,ukifanya hiki lazima na mimi nifanye,iwe direct au indirect.
 
Huyo lazima atakuwa mkereketwa safi ya kikwete ya HAKI SAWA.
 
Back
Top Bottom