Jamani kuna wanaume sijui ndio tuwaite wagumu,maana wazungu wanawaita cold man,mwanaume unampenda mwanamke lakini unajifanya kama vile ujali.
Mwanamke I love you anaisikia kwenye muvi,simu ikipokelewa sauti ya kikauzu utasema unaongea na mwanaume mwenzio ebu acheni hizo.