Mnajiandaaje na valentine share with us

Mnajiandaaje na valentine share with us

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Yaani mimi Natalia Guitar nikiweza nitamwimbia mume wangu " what about love " uliimbwa na heart,wanangu wanapelekwa kwa bibi yao.

Nyumba nzima ni mimi na mume wangu jinsi ninavyompenda mpaka kesho yake aninunulie gari mpya,nashukuru mwenyezi Mungu I'm loved .
 
Yaani Mimi Natalia GUITAR naliweza nitamwimbia mume wangu " what about love " uliimbwa na HEART .Wanangu wanapelekwa kwa bibi Yao .nyumba nzima ni Mimi na mume wangu jinsi ninavyompenda mpaka Kesho Yake aninunulie gari mpya .Nashukuru mwenyezi Mungu I'm loved .
Khaa!! Kwa hiyo bibi yao yeye ndiyo hataki gari mpya?? Nauliza tu
 
Mkibaki wenyewe ndani ya nyumba hata kuvaa haihusu kitu mnazuka ni birthday suits tu kwa raha zenu.

Yaani Mimi Natalia GUITAR naliweza nitamwimbia mume wangu " what about love " uliimbwa na HEART .Wanangu wanapelekwa kwa bibi Yao .nyumba nzima ni Mimi na mume wangu jinsi ninavyompenda mpaka Kesho Yake aninunulie gari mpya .Nashukuru mwenyezi Mungu I'm loved .
 
Last edited by a moderator:
Haitakuwa siku tofauti na zingine kwani siku zote wale tuwapendao hatuwezi kuwasahau au kuwatengea siku maalumu ya kuadhimisha upendo tulionao juu yao kwa sababu wale tuwapendao kwa dhati siku zote huwa wanaishi ndani yetu, ndani ya nyoyo zetu na kila siku tunawaonyesha upendo kwani palipo jaa upendo pana amani, pana furaha na pia pana jaa uvumilivu na uaminifu wa hali ya juu....na kupelekea kuzalisha tabasamu murua katika siku zote za maisha yetu...
ITS BEAUTIFULLY FEELINGS TO FEEL LOVE....
 
Mi nimepanga tu kubadilishana cm na mama watoto, yani atakoma.. Liwalo na liwe..
 
Nitakuwa Emaus center kuvunja soul ties na watu woote niliofanya nao mapenzi ili niwe huru.

Karibuni
 
What about love by heart?nahis kuna wanamuziki wawili tofauti ila wamefanana majina ya nyimbo zao.
Nayoijua ni what about love by Steve Mahone.
The best with your plan Natalia
 
Last edited by a moderator:
mimi ntakuwa pale princess hall, na mama kachunju wangu.
 
Nitajilia zangu kwa utulivu Noah na ka ndovu bariid
 
Jaman M Ntakwenda Kuandaa Shamba Na Mume Wangu Kwa Ajir Ya Ufuta
 
serengeti platnum zitausika sana.... nshachoka kuwekewa malove bites!!!
 
Nitakuwa Emaus center tuki-show LOVE na kurudisha penzi lilipotea kati yangu mimi na YESU. Mbarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkibaki wenyewe ndani ya nyumba hata kuvaa haihusu kitu mnazuka ni birthday suits tu kwa raha zenu.

MH!, We BAK wewe, mfanye hivi kama mna miili ya Will Smith au/ and Giselle Bunchen, sasa na wale waliobarikiwa utamaduni wa Mwafrika ukakae kama ulivozaliwa huko ndani si itakuwa balaa?!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
LoL!!! kui balaa kama hilo siku ya V Day ni kwa raha zenu na kuifanya V Day iwe very special, au nakosea?

Back
Top Bottom